Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Rose katukanwa na nani ? wapi?Kwanini Freeman Mbowe hakuwakemea waliokuwa wanamtukana na kumtenga Peter Msigwa wala hakuna chochote kinasemwa kwa Wanaomdhalilisha Rose Mayemba? Au sababu Rose ni Mnyonge? Au sababu Rose hajui kujibizana matusi mitandaoni?