Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Jul 2, 2024 #21 figganigga said: Kwanini Freeman Mbowe hakuwakemea waliokuwa wanamtukana na kumtenga Peter Msigwa wala hakuna chochote kinasemwa kwa Wanaomdhalilisha Rose Mayemba? Au sababu Rose ni Mnyonge? Au sababu Rose hajui kujibizana matusi mitandaoni? Click to expand... Rose katukanwa na nani ? wapi?
figganigga said: Kwanini Freeman Mbowe hakuwakemea waliokuwa wanamtukana na kumtenga Peter Msigwa wala hakuna chochote kinasemwa kwa Wanaomdhalilisha Rose Mayemba? Au sababu Rose ni Mnyonge? Au sababu Rose hajui kujibizana matusi mitandaoni? Click to expand... Rose katukanwa na nani ? wapi?
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jul 2, 2024 #22 ..Rose Mayemba awe na subira hakuna wa kumshinda Uenyekiti wa Cdm Njombe. ..yaani bila kumuengua huwezi kumshinda Rose Mayemba ktk nafasi hiyo. ..akielewa jambo hilo hawezi ku-panick na kuchukua maamuzi yasiyo na busara.
..Rose Mayemba awe na subira hakuna wa kumshinda Uenyekiti wa Cdm Njombe. ..yaani bila kumuengua huwezi kumshinda Rose Mayemba ktk nafasi hiyo. ..akielewa jambo hilo hawezi ku-panick na kuchukua maamuzi yasiyo na busara.