Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

Tabia zao na sisi haziendani, waafrika na waarabu wanaendana. Hata huko zanzbar huo mchanganyiko ni wa wanawake wa kiafrica waliobakwa na waarabu. Maana haikuwa rahisi kwa mwanaume mweusi tena mtumwa amuoe mwanamke wa kiarabu. Bali wanaume wa kiarabu ndio waliowabaka wanawake weusi. Machotara wa kizungu wengi walipatikana kwa wachaga ile rangi nyeupe ukifatilia historia pana Mzungu aliingia pia hata wanawaume wa kiafrica awakuruhusiwa kuoa Mzungu, nao asili yao walitokana na wazungu kuingiwa tamaa ya kutembea na wanawake weusi ambao walikuwa ni wafanyakazi wao.
 
Kama waingereza na wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama wazanzibar.
Wazungu walijali sana kazi na maendeleo kuliko kugegeda wakati waarabu walijali kugegeda kuliko maendeleo, wao waarabu kila walichokiona mbele yao ilikuwa halali yao, hawachagui na hawana mwiko.
 
Tabia zao na sisi haziendani, waafrika na waarabu wanaendana. Hata huko zanzbar huo mchanganyiko ni wa wanawake wa kiafrica waliobakwa na waarabu. Maana haikuwa rahisi kwa mwanaume mweusi tena mtumwa amuoe mwanamke wa kiarabu. Bali wanaume wa kiarabu ndio waliowabaka wanawake weusi. Machotara wa kizungu wengi walipatikana kwa wachaga ile rangi nyeupe ukifatilia historia pana Mzungu aliingia pia hata wanawaume wa kiafrica awakuruhusiwa kuoa Mzungu, nao asili yao walitokana na wazungu kuingiwa tamaa ya kutembea na wanawake weusi ambao walikuwa ni wafanyakazi wao.
Hii sio kweli tungeona Mzungu. Hii ya wachaga sio kweli Mbona Nywele sio za Wazungu.
 
Kasome topic ya history ya Kidato cha tatu nafikiri, inaitwa Colonial Economy,
Afu usome mada ndogo isemayo Agriculture Sector during colonialism,
Utagundua Kwa nini Tanganyika ni Kwa nini hakuna machotara wengi WA kizungu.

Tanganyika Hali yake ya hewa haikusapoti Wazungu wengi kuishi Tanganyika labda Maeneo machache Kama Moshi, Arusha, lushoto Mvomero, Iringa n.k.

Tofauti na Nchi za Afrika ya Kusini na Zimbabwe walipoishi masetla na kulowea huko,
 
Tabia zao na sisi haziendani, waafrika na waarabu wanaendana. Hata huko zanzbar huo mchanganyiko ni wa wanawake wa kiafrica waliobakwa na waarabu. Maana haikuwa rahisi kwa mwanaume mweusi tena mtumwa amuoe mwanamke wa kiarabu. Bali wanaume wa kiarabu ndio waliowabaka wanawake weusi. Machotara wa kizungu wengi walipatikana kwa wachaga ile rangi nyeupe ukifatilia historia pana Mzungu aliingia pia hata wanawaume wa kiafrica awakuruhusiwa kuoa Mzungu, nao asili yao walitokana na wazungu kuingiwa tamaa ya kutembea na wanawake weusi ambao walikuwa ni wafanyakazi wao.
Hamna point hapo umeongea shit Tu wachaga sio weupe wa kutokana wa wazungu Ile ni asili na sio wao TU yapo makabila Yana watu weupe ntakupa mfano wachaga ,Kuna wasambaa wa lushoto japo hayo maeneo yalikaliwa na wazungu huko nyuma ila ni jamii zilitoka tu na uumbaji tatizo linakuja kweny nywele

Ntakupa mfano wa mbulu ,wairaq watu weupe kibao

Ukienda jamii ya wasambaa wanaoishi usmabara mountains kweny baridi kali ni weupe na kule mpaka idadi ya albino ni wengi muulize Mshana Jr ni kwao
 
Tabia zao na sisi haziendani, waafrika na waarabu wanaendana. Hata huko zanzbar huo mchanganyiko ni wa wanawake wa kiafrica waliobakwa na waarabu. Maana haikuwa rahisi kwa mwanaume mweusi tena mtumwa amuoe mwanamke wa kiarabu. Bali wanaume wa kiarabu ndio waliowabaka wanawake weusi. Machotara wa kizungu wengi walipatikana kwa wachaga ile rangi nyeupe ukifatilia historia pana Mzungu aliingia pia hata wanawaume wa kiafrica awakuruhusiwa kuoa Mzungu, nao asili yao walitokana na wazungu kuingiwa tamaa ya kutembea na wanawake weusi ambao walikuwa ni wafanyakazi wao.
Mzungu hajabaka Ila mwarabu kabaka!!?
 
Nakubali hayo maeneo waliishi ishu ni moja tu Kwa nn sisi weupe Kwa bongo haswa nimenote Kwa wachaga, wambulu. Wairaq na wasambaa wa lushoto hao maeneo waliishi wazungu ishu ni moja mbona genes za nywele ni za kibong

Ila wale waarabu ukikuta Zanzibar ule ushombeshombe mpaka nywele

Tunajua wazungu Wana nywele nzuri sana
Kasome topic ya history ya Kidato cha tatu nafikiri, inaitwa Colonial Economy,
Afu usome mada ndogo isemayo Agriculture Sector during colonialism,
Utagundua Kwa nini Tanganyika ni Kwa nini hakuna machotara wengi WA kizungu.

Tanganyika Hali yake ya hewa haikusapoti Wazungu wengi kuishi Tanganyika labda Maeneo machache Kama Moshi, Arusha, lushoto Mvomero, Iringa n.k.

Tofauti na Nchi za Afrika ya Kusini na Zimbabwe walipoishi masetla na kulowea huko,
 
Nakubali hayo maeneo waliishi ishu ni moja tu Kwa nn sisi weupe Kwa bongo haswa nimenote Kwa wachaga, wambulu. Wairaq na wasambaa wa lushoto hao maeneo waliishi wazungu ishu ni moja mbona genes za nywele ni za kibong

Ila wale waarabu ukikuta Zanzibar ule ushombeshombe mpaka nywele

Tunajua wazungu Wana nywele nzuri sana

Wazungu wakioa wanachukua wanaenda kuishi na wake zao Ulaya, na Kama wataachana na Mke basi wanachukua watoto wengi wao.

Nina ndugu zangu wameolewa na Wazungu, Ila waarabu kidogo ni mtihani hasa Kwa familia zao kwani wengi hutumia mfumo wa kuoana wao Kwa wao.

Hivyo mhindi au muarabu akizaa na mbongo wengi huwatelekeza watoto Kwa Mama zao. Ni ngumu mtoto wa Chotara wa kiarabu au Kihindi kukubaliwa kwenye familia na koo za kiarabu au za wahindi.

So wengi pale Zanzibar ni machotara waliotelekezwa au walikuwa mpango wa kando Kwa Siri Kwa makubaliano
 
Kq

Kweli waarabu ni wabaguzi mno katika kuoa wanaweza kukataa mtoto kama ndugu yao kamzalisha mwanamke mweusi ninao mifano maana nimekaa sana na waarabu
 
Tabia zao na sisi haziendani, waafrika na waarabu wanaendana. Hata huko zanzbar huo mchanganyiko ni wa wanawake wa kiafrica waliobakwa na waarabu. Maana haikuwa rahisi kwa mwanaume mweusi tena mtumwa amuoe mwanamke wa kiarabu. Bali wanaume wa kiarabu ndio waliowabaka wanawake weusi. Machotara wa kizungu wengi walipatikana kwa wachaga ile rangi nyeupe ukifatilia historia pana Mzungu aliingia pia hata wanawaume wa kiafrica awakuruhusiwa kuoa Mzungu, nao asili yao walitokana na wazungu kuingiwa tamaa ya kutembea na wanawake weusi ambao walikuwa ni wafanyakazi wao.
Hahahaa umeongea ukweli mchungu bila kupepesa macho, jiandae kuvamiwa na hao machotara.
 
Sisi walijua kutubutua na kutunyonga tu
 
Back
Top Bottom