Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

Darasa la 7 c
Bora darasa la saba elimu imenisaidia kuchambua kuliko kiruu uliibia mitahani na huko chup ukabanduliwa na lecturer ufike ulipo ukija kazina performance zero

Na bado watoto wa tatu kila mmoja baba ake elimu yako Iko wapi hapo kama sio uzwazwa

Unaulizwa huku unajibu huku
 
Bora darasa la saba elimu imenisaidia kuchambua kuliko kiruu uliibia mitahani na huko chup ukabanduliwa na lecturer ufike ulipo ukija kazina performance zero

Na bado watoto wa tatu kila mmoja baba ake elimu yako Iko wapi hapo kama sio uzwazwa

Unaulizwa huku unajibu huku
Nakushauri Usiendelee kureply unajiaibisha.
Unaonesha upeo wako Mdogo wa akili
 
Nakushauri Usiendelee kureply unajiaibisha.
Unaonesha upeo wako Mdogo wa akili
Huna uwezo wa kunishauri jibu point maendeleo yamekujaje kwani tuna zungumzia ukabila

Maendeloe umekariri hay huko kwenu taj tajiri yupo top 20 acha ufala
 
Ukitoa Dubai nchi zingine za kiarabu kupata mwanamke ni shida sana ndo mana walipo kuja huku wakawa wanagonga hovyo nitofauti na nchi za kizungu mapenzi ni miaka 18 tu unamkula dada wa mtu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kwan wale wazungu wa Soweto na na waliotutawala wa tz tofauti yao nn tatzo wa tz wengi licha ya kusoma mpaka form 4 lakini wengi wenu uwezo wa kujaji mambo ni mdogo sana maana history o level yanajibu maswali yenu yote hayo mm kwa ubaguzi sjaona tofauti ya mwarabu muhindi na mzungu juzi tu ukrain wakt watu wanakimbia vta wanafunzi weusi walikuwa wanabaguliwa duh yaani elimu ya bongo bado sana mnakalili sana mkimaliza tu kusoma hamna uwezo kabisa wa kuchanganua mambo watatuzd sana kielimu wa nigeria kenya na wengine
 
Mfumo wa elimu wa bongo ni wa hovyo sana maswali haya nilitegemea niulizwe na mtu ambaye ameishia darasa la saba tu mfumo wa elimu mbovu hauwafanyi vjana waweze kuchanganua mambo na ndio maana ccm wanawaburuza sana kwa uwezo wenu mdogo wa kuchanganua mambo
 
Kama waingereza na wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama wazanzibar.
Wajerumani waliozaa na ngozi nyeusi wapo japo siyo wengi, mfano ni Zakaria Hans Pop (RIP) baba yake alikuwa ni Mjerumani.
 
Wazungu wakioa wanachukua wanaenda kuishi na wake zao Ulaya, na Kama wataachana na Mke basi wanachukua watoto wengi wao.

Nina ndugu zangu wameolewa na Wazungu, Ila waarabu kidogo ni mtihani hasa Kwa familia zao kwani wengi hutumia mfumo wa kuoana wao Kwa wao.

Hivyo mhindi au muarabu akizaa na mbongo wengi huwatelekeza watoto Kwa Mama zao. Ni ngumu mtoto wa Chotara wa kiarabu au Kihindi kukubaliwa kwenye familia na koo za kiarabu au za wahindi.

So wengi pale Zanzibar ni machotara waliotelekezwa au walikuwa mpango wa kando Kwa Siri Kwa makubaliano
Waarabu na Wahindi- Machotara wa Kihindi ni wa kutafuta kwa mbinde. Je, ni kwanini?
 
Back
Top Bottom