Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

Kq

Kweli waarabu ni wabaguzi mno katika kuoa wanaweza kukataa mtoto kama ndugu yao kamzalisha mwanamke mweusi ninao mifano maana nimekaa sana na waarabu

Tatizo la waarabu ni muundo wa familia zao, nyingi ni Extended famili tofauti na familia za kizungu.

Wazungu akikuoa au ukimuoa wanatumia mfumo wa Nuclear family, Baba, mama na mtoto au watoto.

Waarabu au wahindi hawana tofauti kubwa na Waafrika.

Ndio maana unaweza kuta kijana wa kiarabu akiwa ni kweli anampenda Mbongo lakini ishu inakuja kwenye Familia.

Kwa waarabu na wahindi familia zinanguvu na zinaweza kuamua maisha ya watoto wao
 
Mzungu hajabaka Ila mwarabu kabaka!!?
Mzee acha kuleta hisia za kidini hapa kifupi wote wamebaka hakuna cha mzungu wala mwarabu ila mwarabu ndo alizidi kuwabaka ndugu zetu mara 80 ya mzungu na matokeo tunayaona wazi. Hatuna lolote la kheri mbele ya takataka hao wote.
 
Hii sio kweli tungeona Mzungu. Hii ya wachaga sio kweli Mbona Nywele sio za Wazungu.
Kama hao machotara wachache waliendelea kuzaa na Bantu pure wengi unategemea nywele zitabaki kuwa laini?

Generation ya kwanza ya machotara ndiyo inakuwa na nywele laini na features nyingi za kigeni. Baada ya hapo muonekano wa mtu unategemea na watu wataozaa pamoja.

Namaanisha, chotara wa kizungu na kibantu akizaa na mbantu basi mtoto atakuwa na muonekano wa kibantu kwa asilimia kubwa.
 
mtu mweusi na Muarabu wanafanana kwa vingi, hafifu kifikra, kiimani, kisayansi, na kielimu.

sehemu zote wazalizokaa waarabu ndio sehemu maskini zaidi kwenye nchi zetu hizi.
 
Mzee acha kuleta hisia za kidini hapa kifupi wote wamebaka hakuna cha mzungu wala mwarabu ila mwarabu ndo alizidi kuwabaka ndugu zetu mara 80 ya mzungu na matokeo tunayaona wazi. Hatuna lolote la kheri mbele ya takataka hao wote.
Kwa hiyo wewe hapo huna hisia za udini!?..waarabu walipooa kwa chifu tabora walibaka!?..una ushahidi wa huo ubakaji!?
 
Kama waingereza na wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama wazanzibar.
Jibu rahisi Wazungu ni wabaguzi HASWA na Waarabu ni makatili kwa asili lakini wale walioathiriwa na Imani hawaoni tofauti kati yao na rangi zingine..... Zanzibar leo kuna family tie na baadhi ya familia za Oman lakini uchagani hakuna kitu cha namna hiyo....

HAMKUMBUKI VYA ARYAN RACE?
 
mtu mweusi na Muarabu wanafanana kwa vingi, hafifu kifikra, kiimani, kisayansi, na kielimu.

sehemu zote wazalizokaa waarabu ndio sehemu maskini zaidi kwenye nchi zetu hizi.
Unaishi dunia gani kaka,labda unazungumzia waarabu wa shinyanga,ushafika Dubai,Oman au Qatar? hizo sehemu hazifanani na unayoandika,hafifu ki fikra?,kisayansi!?
 
Nywele nyefu ni nzuri? Kwa kigezo Gani?
 
Nywele nyefu ni nzuri? Kwa kigezo Gani?
Kwani huoni za wabongo hata weupe bado Wana nywele kama mizizi ya bangi

Nenda Zanzibar kawaone machotara wa huko nywele zao

Angalia wazungu wenyewe hata wanaume nywele zao zilibyokuwa nzuri
 
tuje historia kwanza.

sikumbuki ila mkoloni wa kwanza alikuwa mwarabu na aliweza kujichanganya na wananchi na ndio maana mpaka leo kuna damu na vizazi vilivyopo.

mkoloni wa pili alikuwa mjerumani .ila mjerumani alikuja kwa ajili ya kuwa sehemu ya nchi yake na ndiyo unaona maendeleo mpaka leo yapo kama reli na vingine.

baada ya vita vya kwanza kuisha muingereza hakuna alichofanya na alikuja kuchuma na ndio maana hakuendeleza lolote
 
Sidhani lakini kama Kabla ya wageni kuja Afrika kulikuwa Na watu weupe
 
Kwani huoni za wabongo hata weupe bado Wana nywele kama mizizi ya bangi

Nenda Zanzibar kawaone machotara wa huko nywele zao

Angalia wazungu wenyewe hata wanaume nywele zao zilibyokuwa nzuri
Nywele zao Ni Nzuri Kwa vigezo Gani?
Wazanzibar wameendelea Na Hizo nywele kwasababu hata Hao machotara waliopatikana wanabagua weusi Na kuoana machotara Kwa machotara.
ila wakiruhusu kuchanganyana Na weusi Hizo nywele unazoita 'nzuri' zitapotea
 
tena walibakwa sana ile wiki ya mapinduzi
 
Nywele zao Ni Nzuri Kwa vigezo Gani?
Wazanzibar wameendelea Na Hizo nywele kwasababu hata Hao machotara waliopatikana wanabagua weusi Na kuoana machotara Kwa machotara.
ila wakiruhusu kuchanganyana Na weusi Hizo nywele unazoita 'nzuri' zitapotea
Mbona unapanic maendeleo yanakujaje pambana na maisha ya nyumbani kwenu usifuate mkumbo

Point ilikuwa clear katika germants za nywele Sasa unalate unadhani waarabu ni masikini kama huko kwenu kaangalie top 20 ya matajiri hapa bongo then uone kama utakuta mweny meno ya kuoza kuwa na akili na adaba tembea kweny point Wala sijakejeli nilitaka ufafanuzi n
 
Darasa la 7 c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…