Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaaaaaNimekaa na Paka fc mmoja hapa anasema kumbe jamaa wanapigika vizuri tu.
Mkuu acha tu. Kuna winga inakimbiza hadi unajiuliza kama zile beki zilishindwa kumkaba Idd Nado hapa wataweza kweli?!Aisee Simba ni timu hasa,tena yenye mafanikio mpaka ndani ya mioyo ya Vidimbwi f.c.
Unaangalia mechi ya Al Ahly na Bayern ghafla ukapata hisia za Simba na kuanzisha uzi maalum kwa ajili ya kuijadili Simba kutokana na mechi ya Al Ahly na Bayern!?
Ndo maana tafiti zinasema kila kwenye watu 10 wapo mashabiki 7 wa Simba SCAisee Simba ni timu hasa,tena yenye mafanikio mpaka ndani ya mioyo ya Vidimbwi f.c.
Unaangalia mechi ya Al Ahly na Bayern ghafla ukapata hisia za Simba na kuanzisha uzi maalum kwa ajili ya kuijadili Simba kutokana na mechi ya Al Ahly na Bayern!?
Watafune tu..... hata huyu mleta mada.Aisee Simba ni timu hasa,tena yenye mafanikio mpaka ndani ya mioyo ya Vidimbwi f.c.
Unaangalia mechi ya Al Ahly na Bayern ghafla ukapata hisia za Simba na kuanzisha uzi maalum kwa ajili ya kuijadili Simba kutokana na mechi ya Al Ahly na Bayern!?
Vipi "VISIT KIDIMBWI" tuitafutie jina gani mkuu?Naangalia game ya Al Ahly Vs Bayern Munich muda huu. Jamaa wanaupiga aisee, hii ndo Next level Yenyewe sio ile inayodroo hadi na Azam.
Yaan Simba ni kama maji,Aisee Simba ni timu hasa,tena yenye mafanikio mpaka ndani ya mioyo ya Vidimbwi f.c.
Unaangalia mechi ya Al Ahly na Bayern ghafla ukapata hisia za Simba na kuanzisha uzi maalum kwa ajili ya kuijadili Simba kutokana na mechi ya Al Ahly na Bayern!?
Huo utafiti itakuwa ulifanyikia hospitali ya Mirembe maana watu wa dizaini hiyo ndiyo pekee waliobaki kuwashabikia paka fc.Ndo maana tafiti zinasema kila kwenye watu 10 wapo mashabiki 7 wa Simba SC
Achilia mbali hao wanaoshabikia kimoyomoyo...[emoji1787]