Kama Wale Jamaa Wanajiita Next Level, Al Ahly Wanaocheza na Bayern Munich Wajiiteje?

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Naangalia game ya Al Ahly Vs Bayern Munich muda huu. Jamaa wanaupiga aisee, hii ndo Next level yenyewe sio ile inayodroo hadi na Azam.
 
Wajiite next level ultra plus .

Sema watani wanamaneno sana aaah kama vile wamebeba Kombe hilo la klabu bingwa
 
Bayern ni kama hawaamini, walijua watajipigia kirahisi.
 
Aisee Simba ni timu hasa,tena yenye mafanikio mpaka ndani ya mioyo ya Vidimbwi f.c.
Unaangalia mechi ya Al Ahly na Bayern ghafla ukapata hisia za Simba na kuanzisha uzi maalum kwa ajili ya kuijadili Simba kutokana na mechi ya Al Ahly na Bayern!?
 
Mkuu acha tu. Kuna winga inakimbiza hadi unajiuliza kama zile beki zilishindwa kumkaba Idd Nado hapa wataweza kweli?!
 
Aisee Simba ni timu hasa,tena yenye mafanikio mpaka ndani ya mioyo ya Vidimbwi f.c.
Unaangalia mechi ya Al Ahly na Bayern ghafla ukapata hisia za Simba na kuanzisha uzi maalum kwa ajili ya kuijadili Simba kutokana na mechi ya Al Ahly na Bayern!?
Ndo maana tafiti zinasema kila kwenye watu 10 wapo mashabiki 7 wa Simba SC

Achilia mbali hao wanaoshabikia kimoyomoyo...[emoji1787]
 
Uto kwa kujitafutia faraja hamjambo! Juzi mkatafuta timu ndogo mpate faraja ila mkakalia.

NB: Al Ahly ni timu bora zaidi Africa na hakuna timu yoyote ya kuishinda Ahly kwa hapa Africa ni hivyo tu mpira una maajabu wanaweza poteza ila wao ni bora zaidi Africa, tatizo uzi wako umejaa unazi wa Uto.
 
Aisee Simba ni timu hasa,tena yenye mafanikio mpaka ndani ya mioyo ya Vidimbwi f.c.
Unaangalia mechi ya Al Ahly na Bayern ghafla ukapata hisia za Simba na kuanzisha uzi maalum kwa ajili ya kuijadili Simba kutokana na mechi ya Al Ahly na Bayern!?
Yaan Simba ni kama maji,
Ukiikwepa kwenye kuoga utakutana nayo kwenye kuinywa.
 
Ndo maana tafiti zinasema kila kwenye watu 10 wapo mashabiki 7 wa Simba SC

Achilia mbali hao wanaoshabikia kimoyomoyo...[emoji1787]
Huo utafiti itakuwa ulifanyikia hospitali ya Mirembe maana watu wa dizaini hiyo ndiyo pekee waliobaki kuwashabikia paka fc.
 
Back
Top Bottom