Kama Wale Jamaa Wanajiita Next Level, Al Ahly Wanaocheza na Bayern Munich Wajiiteje?

Nyie manyani ndiyo mataahira kabisa hata hamjitambui
 
Yani mikia fc nj matatizo sana kwanzia mashabiki hadi timu lenyewe.. kwanza wengi wao ndo wanaongoza kwa umasikini nchini..bila ndumba mpira kwao hautembei..[emoji3][emoji3][emoji3]

Ndio maana naipenda sana Yanga ..maana ni timu ya wananchi.


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Nyie manyani ndiyo mataahira kabisa hata hamjitambuiView attachment 1698358
Sasa wewe mikia fc mnaona mmepiga hatua ..eti "visit Tanzania" hehehe [emoji3][emoji3] mngepata mdhamini wa maana mungeeka hapo huo utumbo wenu.. iyo club bingwa unadhani kuna popote mtafika.? Ni kweli mikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Naangalia game ya Al Ahly Vs Bayern Munich muda huu. Jamaa wanaupiga aisee, hii ndo Next level yenyewe sio ile inayodroo hadi na Azam.
Simba sc ni next level. Al ahaly ni next level pia ndio maana wamepangwa kundi moja.
 
Dua la nyani hilo halimpati Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…