Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie manyani ndiyo mataahira kabisa hata hamjitambuiTangu lini uongozi wa mkia fc wakawa akili za kutafuta watalii? Uyo dada wa kihindi kawaona majuha tu eti Visit Tanzania wakati ligi yenyewe Haina mvuto wowote halafu nani kakudanganya wazungu wanafuatilia utopolo wenu? Nyie mmelenga watalii wa kimataifa au Africa? Wizara ya utalii Imekosa ubunifu mwingine wa kuvuta watalii hadi watumie hii mikia fc?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Yani mikia fc nj matatizo sana kwanzia mashabiki hadi timu lenyewe.. kwanza wengi wao ndo wanaongoza kwa umasikini nchini..bila ndumba mpira kwao hautembei..[emoji3][emoji3][emoji3]Hao ndiyo maana wanaitwa mbumbumbu fc! Wakati wa mechi zao za nyumbani, itawabidi mashabiki wao wafanyiwe upekuzi wa kina na watu wa usalama!
Kama Taifa hatuwezi kuendelea kuaibishwa na hawa mashabiki mbumbumbu wanao wanga uwanjani wakati mechi ikiendelea kwa kutumia mapaka, mijusi, kenge, makunguru, nyuki, matunguri, na kila aina ya uchawi!
Sasa wewe mikia fc mnaona mmepiga hatua ..eti "visit Tanzania" hehehe [emoji3][emoji3] mngepata mdhamini wa maana mungeeka hapo huo utumbo wenu.. iyo club bingwa unadhani kuna popote mtafika.? Ni kweli mikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie manyani ndiyo mataahira kabisa hata hamjitambuiView attachment 1698358
Simba sc ni next level. Al ahaly ni next level pia ndio maana wamepangwa kundi moja.Naangalia game ya Al Ahly Vs Bayern Munich muda huu. Jamaa wanaupiga aisee, hii ndo Next level yenyewe sio ile inayodroo hadi na Azam.
Dua la nyani hilo halimpati SimbaSasa wewe mikia fc mnaona mmepiga hatua ..eti "visit Tanzania" hehehe [emoji3][emoji3] mngepata mdhamini wa maana mungeeka hapo huo utumbo wenu.. iyo club bingwa unadhani kuna popote mtafika.? Ni kweli mikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app