Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Salaam Wakuu,
Moja kati ya mambo yanayonishangaza ni kuwa Chama cha Walimu Tanzania CWT walianzisha bank yao inayoitwa Mwalimu Commercial Bank ila ajabu no kuwa hadi Leo mishaara ya walimu bado inapitia NMB na mikopo pia wanakopa kupitia NMB.
Napenda kuwaambia CWT kuwa wasitegemee maendeleo mazuri ya bank yao kama wao wenyewe sio wadau namba moja ya bank yao au wanataka JWTZ ndio waingie ubia wa watumishi wake kupitishia mishaara huko?
Mambo madogo madogo haya ndio yalipelekea kuanzishwa kwa tawi lingine la umoja was walimu.
Nawasilisha