Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 749
- 875
Hakuna bank ya walimu... Ni propaganda tu. Wenye hisa ni walimu? Wananufaika vipi tangu ianzishwe ???Salaam Wakuu,
Moja kati ya mambo yanayonishangaza ni kuwa Chama cha Walimu Tanzania CWT walianzisha bank yao inayoitwa Mwalimu Commercial Bank ila ajabu no kuwa hadi Leo mishaara ya walimu bado inapitia NMB na mikopo pia wanakopa kupitia NMB.
Napenda kuwaambia CWT kuwa wasitegemee maendeleo mazuri ya bank yao kama wao wenyewe sio wadau namba moja ya bank yao au wanataka JWTZ ndio waingie ubia wa watumishi wake kupitishia mishaara huko?
Mambo madogo madogo haya ndio yalipelekea kuanzishwa kwa tawi lingine la umoja was walimu.
Nawasilisha
Mkuu suala LA kuitanua na kuwa na matawi kila wilaya in la wamiliki wenyeweHiyo benki ina matawi kila wilaya au kuna mawakala?
Utawala no mbovu ile imeandikwa MWALIMU COMMERCIAL BANK PLC.PLC maana take ni Public limited company hats Mimi naweza nunua hisaHakuna bank ya walimu... Ni propaganda tu. Wenye hisa ni walimu? Wananufaika vipi tangu ianzishwe ???
Hiyo ni benki ya walimu jina ila ni benki inayomilikiwa na wafanyabiashara(Wanasiasa)
Ni benki ya wanasiasa tu na wafanyabiasharaHiyo ni benki ya walimu jina ila ni benki inayomilikiwa na wafanyabiashara(Wanasiasa)
Uko sahihi kabisa. Hii benki ni kiini macho tu kwa walimu. Haina tija yoyote ile kwao. Walimu wametapakaa nchi nzima, cha kushangaza benki ina matawi matatu tu nchi nzima!Hiyo ni benki ya walimu jina ila ni benki inayomilikiwa na wafanyabiashara(Wanasiasa)
Tatizo sio BenkiUko sahihi kabisa. Hii benki ni kiini macho tu kwa walimu. Haina tija yoyote ile kwao. Walimu wametapakaa nchi nzima, cha kushangaza benki ina matawi matatu tu nchi nzima!
Halafu riba zao hazina tofauti na benki nyingine! Inamilikiwa na wafanyabiashara na wanadiasa wa ccm kwa mgongo wa walimu wa Tanzania. I wish walimu wangedai tu zile hisa zao walizo nunua wakati hiyo benki inaanzishwa.
Wanaweza jiunga kupitia VISA au MasterCardHiyo benki ina matawi kila wilaya au kuna mawakala?
Hisia zangu wewe ni kutoka chama kileeee!!!! Hongera sana iko siku yajaSalaam Wakuu,