Kama wamasai sio wazawa, mbona Wahehe walitokea Zimbabwe. Huyu Msigwa hana utu na mbaguzi

Kama wamasai sio wazawa, mbona Wahehe walitokea Zimbabwe. Huyu Msigwa hana utu na mbaguzi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa.

Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
20220614_154439.jpg
 
Kumbe ndio lengo lako. Unacheeeeeka!!! Kisa tu mtu ka comment unachokipenda, pathetic creature.
 
Back
Top Bottom