Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aendelee kuandalia mabosi wake chai na kuwavua makoti ya suti.Ni PS ofisi za CCM Chamwino
Nilipuuzi tuAendelee kuandalia mabosi wake chai na kuwavua makoti ya suti.
Amesahau kuna madiwani kibao wa Arusha mjini waliofukuzwa uanachama mwaka 2011 baada ya kumchagua Meya wa CCM.
Hao madiwani wapo wachaga na walio oa na kuolewa na wachaga.
Hapo imeongozwa na mhemko toa hoja mkuuHuwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa.
Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabaguiView attachment 2260544
Hapo imeongozwa na mhemko toa hoja mkuu
Umeandika ujinga ndiyo. Kati ya Msigwa na wewe uliyendika hapa ni nani anayehamasisha hicho unachokiita ukabila? Wewe umeenda mbali na kujipa haki ya utanzania na kuwajengea wengine tashwishi. Ndio Maana nikakukuuliza, wewe unajuaje kama ni mtanzania genuine? Ukaishia kunitukana.Huu ni ujinga? Ubaguzi wa kipumbavu
Mkuu kuna watu ni wapuuzi na wanaongozwa na upuuzi kutukana badala ya kujenga hojaUmeandika ujinga ndiyo. Kati ya Msigwa na wewe uliyendika hapa ni nani anayehamasisha hicho unachokiita ukabila? Wewe umeenda mbali na kujipa haki ya utanzania na kuwajengea wengine tashwishi. Ndio Maana nikakukuuliza, wewe unajuaje kama ni mtanzania genuine? Ukaishia kunitukana.
Wewe endelea kujipa stress kwa matusi, mimi nitaendelea kukupa ukweli. Kama wewe unajiita mtanzania ni kitu gani kimekufanya umuone Msigwa kuwa si mtanzania? Ni hivi umeandika mada ya kijinga kwa chuki zako tu kwakuwa yeye ni mpinzani. Ni heri kwako kama ungewaomba moderators kuifuta.Nisijipe haki ya uraia wa Tz mimi sio mtanzania. Huna akili mbwa wewe.
Mke.wa mchungaji Msigwa hauzi mbege kama weweNilipuuzi tu
Hana akili kabisa hajui kujenga hoja.Unavosema wahehe walevi ina maana huwajui wachagga? [emoji23][emoji23]
Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa.
Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabaguiView attachment 2260544