Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ni mjinga sn CHADEMA wamfukuze harakaMchungaji Msigwa siyo muhehe bali ni Muwanji kutoka wilayani Makete
Hawezi kufukuzwa kwa sababu mkewe ni mchaggaCHADEMA wanatakiwa wamfukuze Msigwa haraka sn hana tofauti na Msigwa na TBC
Peleka huko ujinga wako, kwani Albert Msando siyo mchaga mbona alifukuzwa?Hawezi kufukuzwa kwa sababu mkewe ni mchagga
Hapo Ufipa st wengi siyo wazawaNi mjinga sn CHADEMA wamfukuze haraka
Zwazwa weweHapo Ufipa st wengi siyo wazawa
Msando alifukuzwa na nani?Peleka huko ujinga wako, kwani Albert Msando siyo mchaga mbona alifukuzwa?
Mwenyekiti ni MnyasaZwazwa wewe
Malezi yako yana shida. Umejaa matusi wewe kijana. Kama huna ngozi ngumu usilete vioja vyako hapa.Ahaaa. Ndio maana hana akili
Wewe nae jitu la hovyo tu. Hiki ulichoandika ndio nini sasa.Hawezi kufukuzwa kwa sababu mkewe ni mchagga
Fuatilia wewe BashiteMsando alifukuzwa na nani?
Ndiyo akili za UVCCMWewe
Wewe nae jitu la hovyo tu. Hiki ulichoandika ndio nini sasa.
TeteteteMwenyekiti ni Mnyasa
Zwazwa huyo hajui kitu zaidi ya uchawa.Peleka huko ujinga wako, kwani Albert Msando siyo mchaga mbona alifukuzwa?
Ni PS ofisi za CCM ChamwinoZwazwa huyo hajui kitu zaidi ya uchawa.