Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Mambo ya ajabu sana yanayotokana na upofu wa viongozi.
Kama hao wabunge wana uchungu sana na afya za wananchi ni kwa nini wasiridhie kutozwa hata 2% kwenye mishahara yao na kiinua mgongo kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Bima ya Afya?
Wananchi amkeni... Utapeli mwingine kama huu ukataliwe na matapeli kama hawa wasipewe nafasi zozote za
uongozi!