Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Kwanza kabisa walikiuka katiba maana mgombea wa urais amehudumu vipindi viwili vilivyowekwa kwa mujibu wa katiba.
Mbaya zaidi hata kwenye chaguzi za ndani wanaibiana kur
Taifa hili linahitaji katiba mpya ili kudhibiti huu uozo.
Naamanisha wizi wa kura
Mbaya zaidi hata kwenye chaguzi za ndani wanaibiana kur
Taifa hili linahitaji katiba mpya ili kudhibiti huu uozo.
Naamanisha wizi wa kura