Kama wanaibiana wao kwa wao kura za ndani CHADEMA ya Lissu ingenusilika?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kwanza kabisa walikiuka katiba maana mgombea wa urais amehudumu vipindi viwili vilivyowekwa kwa mujibu wa katiba.

Mbaya zaidi hata kwenye chaguzi za ndani wanaibiana kur

Taifa hili linahitaji katiba mpya ili kudhibiti huu uozo.

Naamanisha wizi wa kura
 
Tundu Lissu yuko mbele ya Muda miaka 100 mbele.
 
Wale walio danganywa na wauza urembo eti linda kura yako wanapaswa kupata somo kwenye kinacho endelea sasa hivi huko ccm
 
Wale walio danganywa na wauza urembo eti linda kura yako wanapaswa kupata somo kwenye kinacho endelea sasa hivi huko ccm
Kwani hawajui....Mwaka huu tumewapiga chenga na wao. Hao ni team moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…