Kama wanajadili waziwazi namna ya kukwapua Mali ya Umma, ni dhahiri walimchukia na hawakupenda hayati Magufuli awepo. Inaonekana aliwabana sana!


Duu ! Bahati nzuri 50 years from now I will have departed the earth long time ! Shauri yao watakao kuwepo !
 
Haki ya Mungu mtatoka hata kwa shari hamuwezikukwapua wazi wazi na tena kwa maagizo nyie mijibwa
Matusi hayatakusaidia kukuondolea umasikini ulio nao.

Mama tunampatia mingine 20
 
Duu ! Bahati nzuri 50 years from now I will have departed the earth long time ! Shauri yao watakao kuwepo !
That reflects heavily on our IQ, the kind of thinking, pure African, ndio viongozi wetu wana fikra za namna hii, hao wazungu wangekuwa na akili na fikra za namna hii wasingekuwa hapo walipo, unlike us they plan what their society would be in the next 100 years, mwafrika, "sitakuwepo". Only God can save us.
 
Mama ameruhusu kuiba kidogo usivembewe. Akaongezea na msemo Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
 
Mkuu unashusha madini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…