Kama wanajadili waziwazi namna ya kukwapua Mali ya Umma, ni dhahiri walimchukia na hawakupenda hayati Magufuli awepo. Inaonekana aliwabana sana!

Sio Wana ccm tuu ni kwenye shughuli yeyote ya utafutaji Duniani,tena nakuongesea kua mnoko utahama mtaa.
 

Fully concurring with you folk ! Nikuhakikishie kwa sampuli ya viongozi na wasomi wa kiafrika and partularly Tanzanians there is no way waweza sema you will plan for the next generation ! Ikiwa Raisi wa nchi yetu Anawaambia wasaidizi wake “wale kwa urefu wa kamba zao” who the hell am I to even think of the next generation ? It suffices to say “Sitakuwepo” I say the truth and stand by it!
 
Mara nyingi shida inayo tukumba na kuwakumba viongozi wa serikali za kiafrika huwa ni ubinafsi,na si kwa hao tuu hata wewe natumai ukipewa uongozi si ajabu masilahi ya taifa ukayaweka ya mwisho katika masirahi yako
 
Wakati nchi zingine kula rushwa unaweza kuhukumiwa kifo huku kwetu watu wanaelekezana!
 
Mara nyingi shida inayo tukumba na kuwakumba viongozi wa serikali za kiafrika huwa ni ubinafsi,na si kwa hao tuu hata wewe natumai ukipewa uongozi si ajabu masilahi ya taifa ukayaweka ya mwisho katika masirahi yako binafsi
 
It suffices to say so, you don't make policies or political decisions that affects millions of people, but believe me, we need every brain we can have to influence changes, at your local level, even how you raise your kids can be of huge impact in the society.
 
We mpuuzi tumia busara hata siku moja kujadili mambo ya msingi.
Mkuu usishangae kukutana na watu kama hawa wanao sapoti ujinga,si ajabu wakawa ndio wale wale walioruhusiwa kula mali za umma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli kabisa JPM aliwabana sana ili wasiweze kuiba.

Kilichowaumiza zaidi ni wao kubanwa sana lakini yeye mwenyewe JPM na genge lake waliiba sana kuliko ata wale waliopita.

Na leo kinachowaumiza wafuasi wa JPM ni kutohusishwa kwenye ulaji wa sasa,wote wameoza wote hawafai...JPM na Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…