Kama wanajadili waziwazi namna ya kukwapua Mali ya Umma, ni dhahiri walimchukia na hawakupenda hayati Magufuli awepo. Inaonekana aliwabana sana!

Mahindi mabichi yana virutubisho vingi zaidi kuliko sembe.Pia sio rahisi kula kupitiliza mahindi mabichi kama ilivyo kwa ugali.
 
CCM na awamu zao zote tu ni wezi. Hakuna cha mama wala shujaa.
 
Una uhakika kwamba yeye mwenyewe hakuwa na kundi lake la wezi?. Usimgeuze JPM kama vile ni malaika au kashuka kutoka mbinguni.

Aliishi na binadamu, alizungukwa na wapigaji kila kona. Alikuwa na hulka za kisiasa ambazo zilimuweka karibu na wananchi na akaaminiwa.

Lakini alikuwa ni binadamu kama mimi na wewe.
 
Una clip yoyote akiwa na wapigaji wenzake wakujadili namna ya kukwapua?
 
Una clip yoyote akiwa na wapigaji wenzake wakujadili namna ya kukwapua?
Ukisikia trilioni 1.5 imeibiwa na serikali ya JPM unaweza kuweka ushahidi hadharani?. Wale wezi wa EPA na majengo pacha ya BOT waliiba mabilioni ya shilingi, unaweza kuweka ushahidi wowote hadharani?.
 
Huna sifa ya kubishana na mimi. Kaa kimya usitafute umaarufu.
 
Wewe kuna siku anawaambia wasaidizi wake live tena mbele ya camera,kuwa wakwapue Mali za umma,ila wasivimbiwe.Huyu Sio rais ni kinyago tu kiko Ikuru.
Bora anaongelea kuvimbiwa kuliko kunyang'anya mabilioni ya wafanyabiashara wasio na kosa lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…