Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu zao 3,000 Makambini Kwao kuna Majasusi 75 kutoka nchi Tatu za Jirani ambao Wametumia Mbinu ya Kuzaa na Kuolewa nao wakati kumbe wako Kazini na Siku si nyingi na huko pia Kitanuka (Kitawaka) tu.

Nchi pekee ambayo naisifu na nichukue nafasi hii Kuipongeza kwa Kujilinda na kuwa makini Kiusalama na Kiulinzi ni Tanzania tu pekee ambayo huwezi Kukuta katika Kambi za Jeshi au za Usalama wao wa Taifa kumejengwa Fremu za Biashara na badala yake Kambi zao zote ziko Imara, huingii Kizembe Kizembe na kamwe huwezi kukuta Wanajeshi au wana Usalama wa Taifa wao Wanazurula hovyo Mitaani kama Mbu wa Malaria au Wanalewa au Wanapokea Rushwa au Wanagombea Mademu.

Ukisomea nchi za Puerto Rico na Venezuela ni raha sana na Msomaji akiwa na Akili Kubwa na za Kuzaliwa nazo huwa ni Raha zaidi.
 
....halafu wanasingiziwa kuingia mitaani kusaka sare zao.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…