mkushi wa kushi
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 657
- 993
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wanekazana kusaka jezi zao..hamna wanachofanya zaidi yaekutoka vitamb sijawai ona jeshi limezubaa kama hili..kazi kutisha raia tu uzalendo hayana mangombe ngombe tu
[emoji23][emoji23][emoji23] waulize huko kwingineko , wanaamin kesho itakuwa km leo , ukiongozwa na form 4 failure ni htrKama Israel ( Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi ) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu zao 3,000 Makambini Kwao kuna Majasusi 75 kutoka nchi Tatu za Jirani ambao Wametumia Mbinu ya Kuzaa na Kuolewa nao wakati kumbe wako Kazini na Siku si nyingi na huko pia Kitanuka ( Kitawaka ) tu.
Nchi pekee ambayo naisifu na nichukue nafasi hii Kuipongeza kwa Kujilinda na kuwa makini Kiusalama na Kiulinzi ni Tanzania tu pekee ambayo huwezi Kukuta katika Kambi za Jeshi au za Usalama wao wa Taifa kumejengwa Fremu za Biashara na badala yake Kambi zao zote ziko Imara, huingii Kizembe Kizembe na kamwe huwezi kukuta Wanajeshi au wana Usalama wa Taifa wao Wanazurula hovyo Mitaani kama Mbu wa Malaria au Wanalewa au Wanapokea Rushwa au Wanagombea Mademu.
Ukisomea nchi za Puerto Rico na Venezuela ni raha sana na Msomaji akiwa na Akili Kubwa na za Kuzaliwa nazo huwa ni Raha zaidi.
Hahaha..ni Tanzania tu pekee ambayo huwezi Kukuta katika Kambi za Jeshi au za Usalama wao wa Taifa kumejengwa Fremu za Biashara
Sizijui Mkuu. Kawe ni wapi? Niko Bush.Hahaha..
Kama zile za pale Kawe, kambini Lugalo?!
Si inasemekana wana usalama wenu huwa wanachaguliwa hadi wenzi?Kama Israel ( Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi ) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu zao 3,000 Makambini Kwao kuna Majasusi 75 kutoka nchi Tatu za Jirani ambao Wametumia Mbinu ya Kuzaa na Kuolewa nao wakati kumbe wako Kazini na Siku si nyingi na huko pia Kitanuka ( Kitawaka ) tu.
Nchi pekee ambayo naisifu na nichukue nafasi hii Kuipongeza kwa Kujilinda na kuwa makini Kiusalama na Kiulinzi ni Tanzania tu pekee ambayo huwezi Kukuta katika Kambi za Jeshi au za Usalama wao wa Taifa kumejengwa Fremu za Biashara na badala yake Kambi zao zote ziko Imara, huingii Kizembe Kizembe na kamwe huwezi kukuta Wanajeshi au wana Usalama wa Taifa wao Wanazurula hovyo Mitaani kama Mbu wa Malaria au Wanalewa au Wanapokea Rushwa au Wanagombea Mademu.
Ukisomea nchi za Puerto Rico na Venezuela ni raha sana na Msomaji akiwa na Akili Kubwa na za Kuzaliwa nazo huwa ni Raha zaidi.
Idiot.We nae.
Ile ni kambi au kotaz makazi ya familia za wanajeshi.
Kwa kuwa ni wenzako hao kwa rank uliyofikia na ukizingatia walikusomesha hadi yale mambo ya Cuba ni vema ukawashauriKama Israel ( Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi ) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu zao 3,000 Makambini Kwao kuna Majasusi 75 kutoka nchi Tatu za Jirani ambao Wametumia Mbinu ya Kuzaa na Kuolewa nao wakati kumbe wako Kazini na Siku si nyingi na huko pia Kitanuka ( Kitawaka ) tu.
Nchi pekee ambayo naisifu na nichukue nafasi hii Kuipongeza kwa Kujilinda na kuwa makini Kiusalama na Kiulinzi ni Tanzania tu pekee ambayo huwezi Kukuta katika Kambi za Jeshi au za Usalama wao wa Taifa kumejengwa Fremu za Biashara na badala yake Kambi zao zote ziko Imara, huingii Kizembe Kizembe na kamwe huwezi kukuta Wanajeshi au wana Usalama wa Taifa wao Wanazurula hovyo Mitaani kama Mbu wa Malaria au Wanalewa au Wanapokea Rushwa au Wanagombea Mademu.
Ukisomea nchi za Puerto Rico na Venezuela ni raha sana na Msomaji akiwa na Akili Kubwa na za Kuzaliwa nazo huwa ni Raha zaidi.
Mkuu nyuma ya key board hakika wewe ni jasiri,I wish huu ujasiri ungekuwa nao pia na ukawaface ana kwa ana ukawapa makavu kama ulivyofanya hapa.Nimecheka hapo kwa 'mangombe ngombe' yani umekasirika hadi ukasahau kuandika ng'ombe kwa usahihiYamekazana kusaka jezi zao..hamna wanachofanya zaidi yaekutoka vitamb sijawai ona jeshi limezubaa kama hili..kazi kutisha raia tu uzalendo hayana mangombe ngombe tu
Rubbish.Hahaha unatumia sarcasm,
Yule tyrant wenu amewajaza ujinga Sana ivi mnafikiri Kuna nchi isiyovamika Kila nchi inaweza vamiwa ishu ukishavamia inaweza mudu counter offensive kutunza uvamizi wako
Kuhusu ujasusi ni kawaida nchi mbalimbali kutuma spy Kwa mataifa jirani na sio geni Wala uwezi kizuia spy was mataifa mengine kuingia kwenye taifa lako labda kama intelligence yako inaongozwa na malaika
Kwenye mambo ya ujasusi hakuna uwezi zuia spy kupenya kwenye system, morden warfare Haina mambo ya eliminate maspy kama zamani sikuizi wanachofanya ni kumanage majasusi unaweza jiona mwamba kuinfritate system kumbe watu wanakuchora TU siku wakihitaji kukamata Wana kukamata tu
Kwenye vita kuna kitu kinaitwa mzunguke adui kwa kumfungulia mlango aingie kisha unamzingira unaua woteKama Israel ( Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi ) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu zao 3,000 Makambini Kwao kuna Majasusi 75 kutoka nchi Tatu za Jirani ambao Wametumia Mbinu ya Kuzaa na Kuolewa nao wakati kumbe wako Kazini na Siku si nyingi na huko pia Kitanuka ( Kitawaka ) tu.
Nchi pekee ambayo naisifu na nichukue nafasi hii Kuipongeza kwa Kujilinda na kuwa makini Kiusalama na Kiulinzi ni Tanzania tu pekee ambayo huwezi Kukuta katika Kambi za Jeshi au za Usalama wao wa Taifa kumejengwa Fremu za Biashara na badala yake Kambi zao zote ziko Imara, huingii Kizembe Kizembe na kamwe huwezi kukuta Wanajeshi au wana Usalama wa Taifa wao Wanazurula hovyo Mitaani kama Mbu wa Malaria au Wanalewa au Wanapokea Rushwa au Wanagombea Mademu.
Ukisomea nchi za Puerto Rico na Venezuela ni raha sana na Msomaji akiwa na Akili Kubwa na za Kuzaliwa nazo huwa ni Raha zaidi.
Mossad ni kama tiss ya kipindi Cha Nyerere wote zama zao zimepita history Zina wabeba ila Sasa mossad wanazidiwa na WA Iran tiss nowadays wapo kisiasa so zama zinapitaKama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu zao 3,000 Makambini Kwao kuna Majasusi 75 kutoka nchi Tatu za Jirani ambao Wametumia Mbinu ya Kuzaa na Kuolewa nao wakati kumbe wako Kazini na Siku si nyingi na huko pia Kitanuka (Kitawaka) tu.
Nchi pekee ambayo naisifu na nichukue nafasi hii Kuipongeza kwa Kujilinda na kuwa makini Kiusalama na Kiulinzi ni Tanzania tu pekee ambayo huwezi Kukuta katika Kambi za Jeshi au za Usalama wao wa Taifa kumejengwa Fremu za Biashara na badala yake Kambi zao zote ziko Imara, huingii Kizembe Kizembe na kamwe huwezi kukuta Wanajeshi au wana Usalama wa Taifa wao Wanazurula hovyo Mitaani kama Mbu wa Malaria au Wanalewa au Wanapokea Rushwa au Wanagombea Mademu.
Ukisomea nchi za Puerto Rico na Venezuela ni raha sana na Msomaji akiwa na Akili Kubwa na za Kuzaliwa nazo huwa ni Raha zaidi.
Rwanda,Kenya na Uganda ehee?haya Wacha tuoneKama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu zao 3,000 Makambini Kwao kuna Majasusi 75 kutoka nchi Tatu za Jirani ambao Wametumia Mbinu ya Kuzaa na Kuolewa nao wakati kumbe wako Kazini na Siku si nyingi na huko pia Kitanuka (Kitawaka) tu.
Nchi pekee ambayo naisifu na nichukue nafasi hii Kuipongeza kwa Kujilinda na kuwa makini Kiusalama na Kiulinzi ni Tanzania tu pekee ambayo huwezi Kukuta katika Kambi za Jeshi au za Usalama wao wa Taifa kumejengwa Fremu za Biashara na badala yake Kambi zao zote ziko Imara, huingii Kizembe Kizembe na kamwe huwezi kukuta Wanajeshi au wana Usalama wa Taifa wao Wanazurula hovyo Mitaani kama Mbu wa Malaria au Wanalewa au Wanapokea Rushwa au Wanagombea Mademu.
Ukisomea nchi za Puerto Rico na Venezuela ni raha sana na Msomaji akiwa na Akili Kubwa na za Kuzaliwa nazo huwa ni Raha zaidi.
Ulitaka wawapige risasi raia wake😀😀Yamekazana kusaka jezi zao..hamna wanachofanya zaidi yaekutoka vitamb sijawai ona jeshi limezubaa kama hili..kazi kutisha raia tu uzalendo hayana mangombe ngombe tu
Tena hatari zaidi[emoji23][emoji23][emoji23] waulize huko kwingineko , wanaamin kesho itakuwa km leo , ukiongozwa na form 4 failure ni htr
Waende huko Kongo wakatafte mali..kama rwanda na ugandaUlitaka wawapige risasi raia wake😀😀
Kwahiyo unataka kusema hao hamas ni makoro kuliko wewe yaani wewe uijue mbinu ya waislael kiufasaha kuliko hamas.Kwenye vita kuna kitu kinaitwa mzunguke adui kwa kumfungulia mlango aingie kisha unamzingira unaua wote
Hii tactic imekuwa inatumiwa na Israel.kwa miaka mingi.hata ndani ya Biblia
Adui akiachiwa mlango wazi kuingia huwa uharibifu wake mdogo yes kunakuwa na watakaouawa wachache hao ni.kafara ya jeshi au chambo cha kuwapata Askari wengi wa Hamas wawaue
Israel waliona vizuri tu kwenye intelligence zao ila walisubiri makomando.wazoefu wa Hamas waingie ndani kabisa washikilie maeneo na kuongeza makomandoo wengine wa kulinda hayo maeneo wameteka kisha Jeshi la Israel wawaweke kati ya mduara wawaibukie wawaue wote
Mauaji Israel waliyofanya kwa makomandoo wa Hamas ni makubwa kuliko hiyo idadi na bado wanaendelea kuwaua ndani ya Israel kwa raha zao sababu wamewazingira hawana pa kutokea wala supply chain ya silaha na usaidizi wa kijeshi wa Askari wa Hamas walioko Palestina haupo.Kwa hiyo Israel inawachinja kama kuku kwa kujinafasi bila bughudha
Hadi sasa Israel imetangaza imeua Askari 1,500 wa Hamas ndani ya Israel