Kama wananchi tuendelee kuamini scripts za porojo na uzushi kuhusu Oct 29, 2025 au tusubiri matokeo ya tume huru ya uchunguzi?

Kama wananchi tuendelee kuamini scripts za porojo na uzushi kuhusu Oct 29, 2025 au tusubiri matokeo ya tume huru ya uchunguzi?

Ukiona hela huna na stress huna, Tambua pia hata Akili Hauna.
 
Ukiona hela huna na stress huna, Tambua pia hata Akili Hauna.
hivi kubebwa ufala wa kifikra, kufanywa mamaluki wa vibaraka na kuaminishwa porojo na uzushi kuhusu october2025 ni stress pia, right? :1Head:
 
Ukiweza kuongea uongo kwa kujiamini na ukaaminika, Ipo siku utaongea ukweli huku unalia kwa hisia na Usiaminike.

kuaminishwa porojo za kutunga na zenye hisia na mamaluki wa mambwenyenye ya magharibi, si kubwebwa ufala wa kifikra kirahisi sana huko ndugu mdau wa JF?

kwanini utumike vibaya na kutekwa nyara kifikra hivyo? :1Head:
 
Usiwaamini watu ambao hisia zao hubadilika Kulingana na Wakati.

kamwe siwezi kufanya hivyo,
na daima siwezi kuamini porojo au uzushi wa kutunga. ni muhimu zaidi kusubiri matokeo ya uchunguzi unaoendelea.

mamaluki wanaotumwa na vibaraka wasio itakia mema Tanzania hawawezi kudanganya wananchi kwa story za kutunga ili wao walipwe vizuri zaidi na mambwenyenye ya magharibi yanayofurahia uongo na uzushi huo :1Head:
 
Chizi karogwa tena
 
Si mmeunda tume ya kumsafisha mamaduro, usenge wa nini tena mitandaoni? Tusubiri dekio la mama litayamaliza haya chawa
 
Licha ya kwamba inafahamika wazi kwamba, tayari kipo chombo mahususi cha kisheria kilichoundwa na mtukufu rais ili kuondoa utata na sintofahamu juu ya jambo hilo, na kuipa tume hiyo jukumu la kutafiti, kuchunguza na hatimae kubainisha ukweli au uzushi kuhusu kilichodaiwa kutokea baada ya uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi uliofanyika kwa amani na utulivu mapema Oct.29.2025.

Pamoja na hayo, lakini bado kuna wadau mbalimbali wa JF, tena wa heshima kabisa na wengine kutoka mitandao mbalimbali ya kijamii, bila haya, woga wala aibu wanaendelea kutunga stori na habari mbalimbali zisizo na uthibitisho juu ya hicho ambacho wengi kwasasa wanaona ni kama porojo, uongo na uzushi wa kutafuta uamarufu wa kisiasa, tension au useless public sympathy. Inaaminika hivyo kwasasa kwasababu kila mtunga hiyo porojo anakuja na script yake na takwimu zake amabazo ni za kutunga na zisizo na uthibitisho wowote tena zikiwa tofauti kabisa na mtunga porojo mwingine kuhusu jambo lilelile.

Wananchi wengi wanahoji, hivi kulikoni hawajawahi kuona matanga hata moja ya wanachodai kutokea october au kuona majeruhi moja tu wa athari za wanachozusha kutokea? Picha za kutengeneza sisizo na maelezo au habari yenye utata vimezidi kutia mashaka zaidi dhidi ya porojo na uzushi huo unaochakatwa na kusambazwa na hasa mamaluki wa vibaraka wa mabwenye ya magharibi.

Kongole nyingi sana ziviendee vyombo vya habari vyote nchini ikiwa ni pamoja na magazeti, kwa weledi wao katika jukumu la kuandika, kuchakata na kutoa habari mbalimbali nchini hasa za october na kukataa kua sehemu ya kuhadaa wananchi kwa habari za uongo na uzushi hasa kuhusu oct.29.2025.

Ni muhimu sana kama wananchi wazalendo, kua wastahimilivu na wenye subra wakati ukweli ukibainishwa na tume huru ya uchunguzi, huku sote tukijiepusha na uzushi unaosambazwa na wasiolitakia mema Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania
🚮
 
Back
Top Bottom