Kama wananchi tuendelee kuamini scripts za porojo na uzushi kuhusu Oct 29, 2025 au tusubiri matokeo ya tume huru ya uchunguzi?

Licha ya kwamba inafahamika wazi kwamba, tayari kipo chombo mahususi cha kisheria kilichoundwa na mtukufu rais ili kuondoa utata na sintofahamu juu ya jambo hilo, na kuipa tume hiyo jukumu la kutafiti, kuchunguza na hatimae kubainisha ukweli au uzushi kuhusu kilichodaiwa kutokea baada ya uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi uliofanyika kwa amani na utulivu mapema Oct.29.2025.

Pamoja na hayo, lakini bado kuna wadau mbalimbali wa JF, tena wa heshima kabisa na wengine kutoka mitandao mbalimbali ya kijamii, bila haya, woga wala aibu wanaendelea kutunga stori na habari mbalimbali zisizo na uthibitisho juu ya hicho ambacho wengi kwasasa wanaona ni kama porojo, uongo na uzushi wa kutafuta uamarufu wa kisiasa, tension au useless public sympathy. Inaaminika hivyo kwasasa kwasababu kila mtunga hiyo porojo anakuja na script yake na takwimu zake amabazo ni za kutunga na zisizo na uthibitisho wowote tena zikiwa tofauti kabisa na mtunga porojo mwingine kuhusu jambo lilelile.

Wananchi wengi wanahoji, hivi kulikoni hawajawahi kuona matanga hata moja ya wanachodai kutokea october au kuona majeruhi moja tu wa athari za wanachozusha kutokea? Picha za kutengeneza sisizo na maelezo au habari yenye utata vimezidi kutia mashaka zaidi dhidi ya porojo na uzushi huo unaochakatwa na kusambazwa na hasa mamaluki wa vibaraka wa mabwenye ya magharibi.

Kongole nyingi sana ziviendee vyombo vya habari vyote nchini ikiwa ni pamoja na magazeti, kwa weledi wao katika jukumu la kuandika, kuchakata na kutoa habari mbalimbali nchini hasa za october na kukataa kua sehemu ya kuhadaa wananchi kwa habari za uongo na uzushi hasa kuhusu oct.29.2025.

Ni muhimu sana kama wananchi wazalendo, kua wastahimilivu na wenye subra wakati ukweli ukibainishwa na tume huru ya uchunguzi, huku sote tukijiepusha na uzushi unaosambazwa na wasiolitakia mema Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania
Tume huru inakuja kutuhadithia tuliyoyaona na kuyaishi!
Kwanza logically ile ni tume ya Samia na washkaji zake,haiko huru hata 10%

Tax aliyekuwa wazir wa ulinz, anaweza kujikaanga kwenye mafuta yake?
Inachezwa kitoto sana!
 
Hayo yamejaa Shaka kuliko hata Shaka yenyewe!
 
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Kwenye Nani anajalu habari ya Sheria?
 
Tume huru inakuja kutuhadithia tuliyoyaona na kuyaishi!
Kwanza logically ile ni tume ya Samia na washkaji zake,haiko huru hata 10%

Tax aliyekuwa wazir wa ulinz, anaweza kujikaanga kwenye mafuta yake?
Inachezwa kitoto sana!
kua huru nawe na mamluki wenzako kuunda tume ya mamaluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi mchakate uzushi zaidi na itapendeza sana gentleman,

maana porojo za mamluki zinatofautiana sana kuhusu jambo hilohilo moja:1Head:
 
Si mmeunda tume ya kumsafisha mamaduro, usenge wa nini tena mitandaoni? Tusubiri dekio la mama litayamaliza haya chawa
kuweni huru kuunda tume ya kimamaluki ili kuondoa uzushi unaotofautiana sana wa jambo hilo hilo moja, maana kila mamluki anasema lake tofauti kabisa na mamaluki mwingine gentleman :1Head:
 
Tume huru inakuja kutuhadithia tuliyoyaona na kuyaishi!
Kwanza logically ile ni tume ya Samia na washkaji zake,haiko huru hata 10%

Tax aliyekuwa wazir wa ulinz, anaweza kujikaanga kwenye mafuta yake?
Inachezwa kitoto sana!
Tume imeundwa kwa mujibu wa sheria ina wataalam wa masuala ya jinai, ina majaji wenye uzoefu.

Tujifunze kuwa na mitazamo iliyofunguka sio kila kitu kukitazama kiuanaharakati.
 
Licha ya kwamba inafahamika wazi kwamba, tayari kipo chombo mahususi cha kisheria kilichoundwa na mtukufu rais ili kuondoa utata na sintofahamu juu ya jambo hilo, na kuipa tume hiyo jukumu la kutafiti, kuchunguza na hatimae kubainisha ukweli au uzushi kuhusu kilichodaiwa kutokea baada ya uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi uliofanyika kwa amani na utulivu mapema Oct.29.2025.

Pamoja na hayo, lakini bado kuna wadau mbalimbali wa JF, tena wa heshima kabisa na wengine kutoka mitandao mbalimbali ya kijamii, bila haya, woga wala aibu wanaendelea kutunga stori na habari mbalimbali zisizo na uthibitisho juu ya hicho ambacho wengi kwasasa wanaona ni kama porojo, uongo na uzushi wa kutafuta uamarufu wa kisiasa, tension au useless public sympathy. Inaaminika hivyo kwasasa kwasababu kila mtunga hiyo porojo anakuja na script yake na takwimu zake amabazo ni za kutunga na zisizo na uthibitisho wowote tena zikiwa tofauti kabisa na mtunga porojo mwingine kuhusu jambo lilelile.

Wananchi wengi wanahoji, hivi kulikoni hawajawahi kuona matanga hata moja ya wanachodai kutokea october au kuona majeruhi moja tu wa athari za wanachozusha kutokea? Picha za kutengeneza sisizo na maelezo au habari yenye utata vimezidi kutia mashaka zaidi dhidi ya porojo na uzushi huo unaochakatwa na kusambazwa na hasa mamaluki wa vibaraka wa mabwenye ya magharibi.

Kongole nyingi sana ziviendee vyombo vya habari vyote nchini ikiwa ni pamoja na magazeti, kwa weledi wao katika jukumu la kuandika, kuchakata na kutoa habari mbalimbali nchini hasa za october na kukataa kua sehemu ya kuhadaa wananchi kwa habari za uongo na uzushi hasa kuhusu oct.29.2025.

Ni muhimu sana kama wananchi wazalendo, kua wastahimilivu na wenye subra wakati ukweli ukibainishwa na tume huru ya uchunguzi, huku sote tukijiepusha na uzushi unaosambazwa na wasiolitakia mema Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania
Ndiyo hapana, Paskali ukuje huku uwasikie walisema tusizungumzie yaliyotokea Oct 29, wao wanapenda kuzungumzia.
 
Back
Top Bottom