Siasa ni dynamic institution inayoweza kubadilika kwa kadri ya mazingira yanavyobadilika. Hapo siasa imekuwa reactive kuendana na demand ya activism, wadai haki za binadamu, na harakati au movement mbalimbali zinazodai equity na equality katika jamii in terms of genderUkiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?
wachungaji wanawake siku hizi wapo, baadhi ya makanisa ya kipentekoste na kkkt kuna wachungaji wa kike. Katoliki ndio hakuna katekista wala padri wa kike. Kule kwa waislam ndio hakuna kabisa kiongozi wa kike, hakuna sheikh/sheikhat muongoza ibada wa kikeUkiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?
Maaskofu ndio viongozi katika Ukristo.wachungaji wanawake siku hizi wapo, baadhi ya makanisa ya kipentekoste na kkkt kuna wachungaji wa kike. Katoliki ndio hakuna katekista wala padri wa kike. Kule kwa waislam ndio hakuna kabisa kiongozi wa kike, hakuna sheikh/sheikhat muongoza ibada wa kike
hata huko kwenye upentekoste na ulutheri sijawahi kuona askofu wa kikeMaaskofu ndio viongozi katika Ukristo.
Biblia au vitabu vya Mungu ni katiba ya dunia hii !!!!Tunaweza mkuu,... soon mchungaji To yeye
KumbeBiblia au vitabu vya Mungu ni katiba ya dunia hii !!!!
Ukiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?
Watanzania wengi ni wapumbavu mfano ni wewe ...umeshindo kujua tofauti baina ya kuwa kiongozi na kuweza kuongoza !wanawake wanaweza kuwa viongozi ila hawawezi kuongoza ...tumia akili ...kuwa kiongozi ni kitu kingine na kuweza uongozi ni kitu kingineUkiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?
NIMPUMBAVU MWANAUME AU MWANAMKE ANAYE UNGA MKONO KUONGOZWA NA MWANAMKE ...SHEKH MANDAZI YUPO SAHIHI KABISAKwanza hawawezi kilichotokea hapa Tanzania ni ajali na bahati mbaya nahisi Mungu ameamua kutupa adhabu
Si ubaguzi lakini Mwanamke toka uumbaji ni 2nd person kwa mwanaume - na ndiyo maana tunawaoa ila wao hawaoi.Ukiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?