Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ukiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje wanashindwa kuwa viongozi katika dini?
Kupata Taarifa na Matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 pamoja na Zanzibar