Kama wanaweza kutengeneza Bombadia wanaweza pia kutengeneza chanjo ya Covid-19

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Ndugu zangu wanasiasa lazima tukubali kuwa wenzetu walianza zamani sana kwenye sayansi na teknolojia, wanatuzidi mbali sana.

Kama tunaamini wanaweza kututengenea ndege kubwa na nzuri, computers, nguo, mkonga wa taifa, chanjo za surua na kifaduro LAZIMA tukubali kuwa wanaweza kutengeneza hata chanjo dhidi ya Covid-19.

Maendeleo ya technologia ya DNA yanawezesha siku hizi watu wenye elimu hiyo, vifaa na hela nyingi kuweza kugundua na kutengeneza chanjo kwa muda mfupi zaidi kuliko zamani. Hatuwezi kuukwepa ukweli huu sisi peke yetu.

Wakati dunia inaingia kwenye awamu mpya na kisayansi ya kuudhibiti ugonjwa wa covid duniani sisi tunafundishana namna ya kutengeneza malimao, vitunguu, tangawizi na pilili kuthibiti covid.

Kwanza hebu tujiukize Tanzania kuna mashamba makubwa kiasi gani ya kuwatosha watanzania wote 55,000,000 kuweza kupata malimao, tangawizi, vitunguu na pilipili kwa kazi hiyo tu?

Ni kweli hata ninyi wataalam wa afya mnaitupa mkono WHO kuhusu standards operation procedures za kupigana na covid-19 au taaluma yenu iko kwenye mifuko ya makoti ya wanasiasa?

Tunangoja mpaka afe nani ili na sisi tuanze kuagiza chanjo za covid 19 zilizoko sasa?
 
Kuna haja ya kujua hii dunia inaendeshwaje..
Hakuna kitu utafanya maadamu huwezi kutengeneza dawa na chanjo zako hata za malaria na surua. Huna ubavu wa kukwepa wanachotaka ukipate na usikipate. If you can not fight them join them yourself before they force you to comply. Ni heri uweke mwenyewe jelly ili wasikuumize kwakuwa wamedhamiria na watafanikiwa.
 
Hatuzitaki hizo chanjo...

Watu wanasema hawazitaki chanjo mbona za polio na zinginezo hawakugoma kuchukua? Na waliozitengeneza ni hao hao!
 
Hata ungefanyaje kuwakwepa ni vigumu. Kama una hofu na za covid 19 acha na nyingine zao zote.
 
Tatizo KUBWA LA wenzetu hawa ni kwamba Wana roho mbaya sana, hawatupendi na hawatuoni kama tunastahili kuishi kwenye maeneo yetu, na hawatuoni kama binadamu kamili kama wao. Na mbaya zaidi wanafahamu chini ya vijumba vyetu kuna utajiri.

Ni mpaka siku waafrika tutakapojitambua kuwa wazungu hawatupendi kabisa ndipo tutakapoanza jitihada za kweli za kujikomboa. Marehemu JPM alianza kulitumbua hilo, lakini waswahili wanasema kama unataka kwenda haraka tembea peke yako lakini kama unataka utembee na kufika mbali tembea na wenzako pamoja. Kiongozi anaetembea bila ya wenzake hatafika mbali, mabeberu hawatamruhusu afike mbali.

Pili, unapofanya maendeleo yako yafanye kwa kificho bila kitangaza sana ili kuepuka vijicho, fitina, kuchomeana nguru, na uhasidi. Marehemu JPM alikiwa anaitangazia Dunia hata kwa mafanikio kidogo aliyokuwa ameyafanya. Mfano, kuitangazia Dunia kuwa amewabwaga wazungu kwenye madini halikuwa jambo jema kwa mabeberu, lilikuwa linawaharibia haiba na biashara yao ya madini duniani. Botswana walikuwa na mikataba mizuri sana ya madini tangu siku nyingi lakini walikuwa kimya. Waswahili wanasema Sifa zinaua, Wacha watu wakutane na matokeo ya mafanikio yako tu sio kujimwambafai.

Hata hivyo hakuna mtanzania ambaye hapaswi kumshukuru JPM kwa kuthubutu kuwabwekea mabeberu na kuungana na Akina Lumumba, Nkrumah, BiKo, Madera, Masheli, nyerere, Mondurane, Jomo, kinjekitile, Mbega, Rumanyika, Kingalu, na wengine waliotafuta uhuru katika kubweka huko.
 
Upo sahihi lazima tukae chini tujiulize hii dunia inaendeshwaje na kuna siri zipi ambazo znafanya haya majanga yatokee na kwa mda flani
Amini na kwambia dunia ni kweli haipo kama sisi tunavyo dhani ila kutaka kujua inaendeshwaje tutabaki ku hisi tu kwa kutumia tathmini ya matukio ila uhakika hutaupata kamwe labda vinginevyo ukajiunge na shirika la CIA marekani. Nyuma ta pazia kuna giza sana na mambo ya hatari na ajabu kubwa
 
Ndugu zangu adui zetu wa kweli wamejificha kwenye makoti ya dini, misaada, na mikopo kutoka kwao. Kama tukiweza kujinasua kwenye dini zao walizotupa, kutegemea misaada N mikopo kutoka kwao TutaaNza kupata ahueni kubwa sana.

Siku zote tujikumbushe zile sababu zilizowafanya waje kwetu kuligawana Bara la afrika na kututawala. Sababu zile bado wanazo hadi Leo, hivyo Africa bado wanaihitaji hadi kesho. Tusifikirie kidogokidogo
 
Ndugu zangu wanasiasa lazima tukubali kuwa wenzetu walianza zamani sana kwenye sayansi na teknolojia, wanatuzidi mbali sana.

Kama tunaamini wanaweza kututengenea ndege kubwa na nzuri, computers, nguo, mkonga wa taifa, chanjo za surua na kifaduro LAZIMA tukubali kuwa wanaweza kutengeneza hata chanjo dhidi ya Covid-19.

Maendeleo ya technologia ya DNA yanawezesha siku hizi watu wenye elimu hiyo, vifaa na hela nyingi kuweza kugundua na kutengeneza chanjo kwa muda mfupi zaidi kuliko zamani. Hatuwezi kuukwepa ukweli huu sisi peke yetu.

Wakati dunia inaingia kwenye awamu mpya na kisayansi ya kuudhibiti ugonjwa wa covid duniani sisi tunafundishana namna ya kutengeneza malimao, vitunguu, tangawizi na pilili kuthibiti covid.

Kwanza hebu tujiukize Tanzania kuna mashamba makubwa kiasi gani ya kuwatosha watanzania wote 55,000,000 kuweza kupata malimao, tangawizi, vitunguu na pilipili kwa kazi hiyo tu?

Ni kweli hata ninyi wataalam wa afya mnaitupa mkono WHO kuhusu standards operation procedures za kupigana na covid-19 au taaluma yenu iko kwenye mifuko ya makoti ya wanasiasa?

Tunangoja mpaka afe nani ili na sisi tuanze kuagiza chanjo za covid 19 zilizoko sasa?
Nimeamini kweli wewe ni kavulana.

yaani tuamini amini kila kitu hkuna kupinga!! sababu tu unajiona mnyonge Enzi za Mao kule china anakunyonga kimya kimya!! ukijichekesha
 
kwahiyo wewe unaona kutangazia dunia kuwa pilipili hoho na malimao kutibu Covid 19 ndio kunakotuondolea unyonge kwenye vita dhidi ya corona? dunia ilikuwa inatuona kama masokwe tu yanayojaribu kula hiki na kile bila kutumia sayansi. Ukimuuliza yule aliyetengeneza juice za NIMRCAF na COVIDO watakwambia babu zetu waliitumia mimea hii kwa miaka mingi. Mpaka leo bado tunasema babu zetu walitumia bila ya kuongezea sayansi yetu.
 
Mkuu ukijidharau kwa kujihisi kuwa unadharauliwa ni ugonjwa mbaya sana wa akili!!! tena ungejua mzungu ndo anakaribiana na sokwe kimfanano ungeshangaa lkn shule tatizo....

Mwalimu wako muongo, kukwambia eti sokwe anajaribu kula hiki na kile !! sikia kikawaida sokwe hajaribu kana kwamba hajui anachofanya Sokwe ana chakula chake Maalum, pia ana

Ukoo,

Kiongozi wa familia,

maadui na namna ya kupambana nao!!
ana jua kutumia sayansi, ya utambuzi

kwa mfano Sokwe akiona msafara wa Tembo mbugani huwafuata kwa ukaribu zaidi unajua kwa nini wako vile???.... sayansi yao Hiyo!!
Je unajua kuwa wanatoa ishara gani ktk mawindo yao wakimuona adui.. kwa nini,

je unajua kuwa kuna wanyama wanamtegemea sokwe kiusalama zaidi? sasa huyu ndo useme hana sayansi??? au weye ndo huna uelewa!!!! uliwahi wapi kuona sokwe amekumbwa na Lava za volkeno,

au Mafuriko, au kapigwa risasi bahati mbaya penye vita ya msituni km hana sayansi!!! lkn vita tu ikiisha hao wengi!!!

sawa sisi tulikomaa na Malimao,pilipili, wao wakakomaa na chanjo za kiwandani jiulize nani kati ya beberu na sisi wali/wana kufa zaidi mpaka sasa, hao unao wamini walijua tutakufa sana, kufikia kipindi flani hivi lkn wapi!!!

hivi unajua asili ya hizo anti Covid ni mimea ya asili tena ya kawaida Malimao! au hukusoma sayansi ukaelewa?

Mimea ndo hii bwena bwena ?? tunayo? tena sasa wanachukua hayo hayo malimao kama hujui!! wanatupatia kirahisiii!! tatizo lenu miafrica, hii tech. ya uponyaji hii alitangaza Mswahili km wewe!! ndo maana mnazidharau..

lkn km Angetamka Mzungu kuwa mjifukize ni ugunduzi kafanya weee.........faster ungetumia kiubweteee bila kuhoji!! sasa hivi tunafanya utafiti wa kwa nini mtu Mweusi anamnyenyekea sana Mzungu kuliko mweusi mwenzake???

Mzungu akikupa Bunduki ukamuue mwanao, binti yako, mama yako unakimbia faster kutekeleza maagizo yake! lkn mweusi akikutaza utamuona ana chuki, chizi, hajui lolote nyani tuu!! hayaa bana.

So! wewe mkuu, pamoja na aa Joseph konyi, Savimbi, Mobutu nk, mtatufaa sana kiutafiti, karibu Nyegezi social, iko karibu na shule ya kilimo kuree Nyashimba!! hata ukifa mwili wako tunautaka kitafiti zaidi tupe anwani tu!!
 
Unaongea hisia, lakini sokwe wanahifadhiwa na kutunzwa na wanasayansi. Wanawatibu wakiwa na magonjwa, wanavunwa na wanafugwa.

Wacha uongo, tofautisha Kati ya uzoefu na ubunifu.

Kwani hofu yetu kuogopa chanjo ya covid ni nini? Maana kama watakukosa kwenye chanjo ya covid watakupata kwenye ndege zao na dawa za mabusha na pressure ambazo pia zinatoka kwao
 
Tatizo KUBWA LA wenzetu hawa ni kwamba Wana roho mbaya sana, hawatupendi na hawatuoni kama tunastahili kuishi kwenye maeneo yetu, na hawatuoni kama binadamu kamili kama wao. Na mbaya zaidi wanafahamu chini ya vijumba vyetu kuna utajiri.

Ni mpaka siku waafrika tutakapojitambua kuwa wazungu hawatupendi kabisa ndipo tutakapoanza jitihada za kweli za kujikomboa. Marehemu JPM alianza kulitumbua hilo, lakini waswahili wanasema kama unataka kwenda haraka tembea peke yako lakini kama unataka utembee na kufika mbali tembea na wenzako pamoja. Kiongozi anaetembea bila ya wenzake hatafika mbali, mabeberu hawatamruhusu afike mbali.

Pili, unapofanya maendeleo yako yafanye kwa kificho bila kitangaza sana ili kuepuka vijicho, fitina, kuchomeana nguru, na uhasidi. Marehemu JPM alikiwa anaitangazia Dunia hata kwa mafanikio kidogo aliyokuwa ameyafanya. Mfano, kuitangazia Dunia kuwa amewabwaga wazungu kwenye madini halikuwa jambo jema kwa mabeberu, lilikuwa linawaharibia haiba na biashara yao ya madini duniani. Botswana walikuwa na mikataba mizuri sana ya madini tangu siku nyingi lakini walikuwa kimya. Waswahili wanasema Sifa zinaua, Wacha watu wakutane na matokeo ya mafanikio yako tu sio kujimwambafai.

Hata hivyo hakuna mtanzania ambaye hapaswi kumshukuru JPM kwa kuthubutu kuwabwekea mabeberu na kuungana na Akina Lumumba, Nkrumah, BiKo, Madera, Masheli, nyerere, Mondurane, Jomo, kinjekitile, Mbega, Rumanyika, Kingalu, na wengine waliotafuta uhuru katika kubweka huko.
Nimeshindwa kusoma umeandika madudu,,, hakuna anayeweza kumbwekea mzungu,, labda wabwekeana wenyewe kwa wenyewe,, kwanza huna impact yoyote kwa mzungu,, vitu vyote unategemea kutoka huko,, hata dhahabu yenyewe bila wao hamna kitu zaidi ya kuwa pambo,,
 
Back
Top Bottom