Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Pole wee!!! Mie siyo muongo, ninajuwa kuwa ninajuwa, sokwe wanao fugwa ni ajili ya Biashara na maonyesho maarufu km ''Zoo'' na hao unao sema sijui sayansi hiyo ni kwa hata Binadamu km wewe hapo ulipo!! mnafanyiwa majaribio ya kisayansi.Unaongea hisia, lakini sokwe wanahifadhiwa na kutunzwa na wanasayansi. Wanawatibu wakiwa na magonjwa, wanavunwa na wanafugwa.
Wacha uongo, tofautisha Kati ya uzoefu na ubunifu.
Mfano mlifanyiwa majaribio kipindi flani huko nyuma mkapewa unga wa Yanga!! ile ilikuwa ni Peniccilin Notutum, mlikuwa mnajaribishiwa kuangalia side Effect zake kwa muda mrefu.
baadaye wanafunzi wa kitanzania mkapewa nafasi kwenda kusoma Ulaya na USA lengo ni kuangalia side effects mlizopata kutokana na matumizi ya awali,
hata hapa wewe unafanyiwa majaribio kuona km IQ yako iko vizuri au mzazi aliathirika na matumizi ya yanga, haya mambo yapo sana humu mnatembea tu km nguchiro hamjua ndo maana JK Nyerer alipinga sana ujinga ujinga huu!
Ok !! wanafunzi waafrica wamezuiwa kurudi africa lengo ni kugema damu zao ajili ya kutibia COVID, sababu africans hawafi sana, utafiti kwanza then wanagema