Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Pole wee!!! Mie siyo muongo, ninajuwa kuwa ninajuwa, sokwe wanao fugwa ni ajili ya Biashara na maonyesho maarufu km ''Zoo'' na hao unao sema sijui sayansi hiyo ni kwa hata Binadamu km wewe hapo ulipo!! mnafanyiwa majaribio ya kisayansi.Unaongea hisia, lakini sokwe wanahifadhiwa na kutunzwa na wanasayansi. Wanawatibu wakiwa na magonjwa, wanavunwa na wanafugwa.
Wacha uongo, tofautisha Kati ya uzoefu na ubunifu.
Tulipokuwa tunasoma historia na machapisho mbalimbali, tulisoma kuhusu dhana ya "brainwashing" ambapo tulifikiri na kutenda kama mkoloni na kuyafuata yote ambapo yalikuwa ya kwake.Ndugu zangu wanasiasa lazima tukubali kuwa wenzetu walianza zamani sana kwenye sayansi na teknolojia, wanatuzidi mbali sana.
Kama tunaamini wanaweza kututengenea ndege kubwa na nzuri, computers, nguo, mkonga wa taifa, chanjo za surua na kifaduro LAZIMA tukubali kuwa wanaweza kutengeneza hata chanjo dhidi ya Covid-19.
Maendeleo ya technologia ya DNA yanawezesha siku hizi watu wenye elimu hiyo, vifaa na hela nyingi kuweza kugundua na kutengeneza chanjo kwa muda mfupi zaidi kuliko zamani. Hatuwezi kuukwepa ukweli huu sisi peke yetu.
Wakati dunia inaingia kwenye awamu mpya na kisayansi ya kuudhibiti ugonjwa wa covid duniani sisi tunafundishana namna ya kutengeneza malimao, vitunguu, tangawizi na pilili kuthibiti covid.
Kwanza hebu tujiukize Tanzania kuna mashamba makubwa kiasi gani ya kuwatosha watanzania wote 55,000,000 kuweza kupata malimao, tangawizi, vitunguu na pilipili kwa kazi hiyo tu?
Ni kweli hata ninyi wataalam wa afya mnaitupa mkono WHO kuhusu standards operation procedures za kupigana na covid-19 au taaluma yenu iko kwenye mifuko ya makoti ya wanasiasa?
Tunangoja mpaka afe nani ili na sisi tuanze kuagiza chanjo za covid 19 zilizoko sasa?
Hapo ulipo nafahamu umevaa nguo na viatu vya mitumba kutoka huko huko lakini unadhani unaweza kuwakwepa kwa kukataa chanjo zao za covid. Kumbe unafahamu kuwa wakikukusudia wanazo njia nyingi za kukupata hata kwenye unga wa yanga, mitumba, chanjo ya DPT, surua, polio, na dawa nyinginezo na vyakula kama soda zao za pepsi na cocaPole wee!!! Mie siyo muongo, ninajuwa kuwa ninajuwa, sokwe wanao fugwa ni ajili ya Biashara na maonyesho maarufu km ''Zoo'' na hao unao sema sijui sayansi hiyo ni kwa hata Binadamu km wewe hapo ulipo!! mnafanyiwa majaribio ya kisayansi.
Mfano mlifanyiwa majaribio kipindi flani huko nyuma mkapewa unga wa Yanga!! ile ilikuwa ni Peniccilin Notutum, mlikuwa mnajaribishiwa kuangalia side Effect zake kwa muda mrefu.
baadaye wanafunzi wa kitanzania mkapewa nafasi kwenda kusoma Ulaya na USA lengo ni kuangalia side effects mlizopata kutokana na matumizi ya awali,
hata hapa wewe unafanyiwa majaribio kuona km IQ yako iko vizuri au mzazi aliathirika na matumizi ya yanga, haya mambo yapo sana humu mnatembea tu km nguchiro hamjua ndo maana JK Nyerer alipinga sana ujinga ujinga huu!
Ok !! wanafunzi waafrica wamezuiwa kurudi africa lengo ni kugema damu zao ajili ya kutibia COVID, sababu africans hawafi sana, utafiti kwanza then wanagema
Miaka ya Nyerere hawakuvaa Mitumba!!! Rais alikataa kabisa bin katakata, chochote cha kuagiza mchonga alipiga marufuku, hata Misaada ya hela ktoka ujerman, Uingereza Mchonga ali wahi kataa akawarudishia pesa zao, na kweli Bongo iliishi kwa kujitegemea sana.Hapo ulipo nafahamu umevaa nguo na viatu vya mitumba kutoka huko huko lakini unadhani unaweza kuwakwepa kwa kukataa chanjo zao za covid. Kumbe unafahamu kuwa wakikukusudia wanazo njia nyingi za kukupata hata kwenye unga wa yanga, mitumba, chanjo ya DPT, surua, polio, na dawa nyinginezo na vyakula kama soda zao za pepsi na coca
ukifika kule Marekani maduka na masoko yao yamejaa bidhaa toka China, Korea. Hakuna nchi bila nchi nyingine. Nyerere alikomeshwa na wazungu, alikosa hata sabuni ya kufulia, wananchi walifua kwa utomvu wa mapapai hadi akalazimika kuachia ngazi kwa kuzuga kuwa anang'atuka. Wazungu wana agenda yao ambayo hakuna kiongozi wa Afrika anaweza kuikwepa agenda yao hiyo, hawana haraka watakupata tu wakikutaka hata kwa miaka 100 ijayo.Miaka ya Nyerere hawakuvaa Mitumba!!! Rais alikataa kabisa bin katakata, chochote cha kuagiza mchonga alipiga marufuku, hata Misaada ya hela ktoka ujerman, Uingereza Mchonga ali wahi kataa akawarudishia pesa zao, na kweli Bongo iliishi kwa kujitegemea sana.
Lkn watu wenye Akili km hizi zako wakampinga sana hata kufikia hatua ya kutaka kumuua!!! akaona isiwe taabu akatema ngazi kiulainiii!! weupe wako hao wakamshangaa sana mpaka leo!!
hatukuwahi kutamani mitumba sisi wala chochote kutoka nje tulijiweza na tunajiweza but wanatulazimisha tu, kutumia watu km wewe, tulifulia Magwanji za Mwanza, kwani tulikufa?? mpaka leo tunaweza kufanya hivo! hawatutishi hao lengo lao ni kutumia watu waoga wa kujitegemea km wewe ili mpige debe km hivi.
Agenda hizo wanazitekeleza kwa kutumia vibaraka km wewe!! adui wa ndani!! unae sifu sifu tu!! wao waliwezaje sisi tushindwe!! angalia china mbona mabeberu hawakuipata, Korea kaskazini je!! Iran iko wapi leo?ukifika kule Marekani maduka na masoko yao yamejaa bidhaa toka China, Korea. Hakuna nchi bila nchi nyingine. Nyerere alikomeshwa na wazungu, alikosa hata sabuni ya kufulia, wananchi walifua kwa utomvu wa mapapai hadi akalazimika kuachia ngazi kwa kuzuga kuwa anang'atuka. Wazungu wana agenda yao ambayo hakuna kiongozi wa Afrika anaweza kuikwepa agenda yao hiyo, hawana haraka watakupata tu wakikutaka hata kwa miaka 100 ijayo.