Kama wanyama wangekuwa na whats up, stutus zao zingesomeka hivi

Kama wanyama wangekuwa na whats up, stutus zao zingesomeka hivi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kubabaaaale JF ina vichaa timamu
 
MENDE: "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "

PANYA: "nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu. uwiiiii"

NGURUWE: Binadamu wabaya jamani, wameshanizushia nasambaza mafua "

MBU: Nina HIV, nimekomaje kunyonyanyonya hovyo.

MBUZI: teh teh teh. thank Good pasaka imepita. ni kula BATA tuu mpaka EID.

KUKU: "friends mkiona kesho kimya mjue nipo mezani maana kuna wageni wamekuja leo hapa home, tuombeane uzima wapendwa, love you all
* "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
"Ongeza ya kwako"
Hii ya kuku imenifanya nimuone dentist [emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣
 
Pundamilia : nitakula ninapojisikia
Binaadamu wamechora rangi zangu barabarani
 
kunguni: jana nlikutana na chaka (m@vuZ1) nkazama kwenye bwawa nkatoka nmelowa haswa.

chawa's reply: huyo atakuwa mwanamke mana juzi kati nlikuwa maeneo hayo.
 
Back
Top Bottom