Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hobby alikua shuleni,kasharudi sasaMpaka sasa hajulikani alipo
Hii ya kuku imenifanya nimuone dentist [emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣MENDE: "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "
PANYA: "nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu. uwiiiii"
NGURUWE: Binadamu wabaya jamani, wameshanizushia nasambaza mafua "
MBU: Nina HIV, nimekomaje kunyonyanyonya hovyo.
MBUZI: teh teh teh. thank Good pasaka imepita. ni kula BATA tuu mpaka EID.
KUKU: "friends mkiona kesho kimya mjue nipo mezani maana kuna wageni wamekuja leo hapa home, tuombeane uzima wapendwa, love you all
* "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
"Ongeza ya kwako"