Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja mmoja wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kubabaaaale JF ina vichaa timamu
Bundi,
Binadamu wao ndio wachawi ila wana amini mimi ndio mchawi!
Mbuzi..
Naona bosi wangu anashindana kuweka vindevu na mimi siku hizi.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ng'ombe..
Sina muda wa kupoteza ndio maana hua natoa haja kubwa huku naendelea na safari.
Kagoma kula huyoHeee
hahahahaha,Mbwa: akipotea wa dar ana trend twitter sisi wa kijijini hata Diwani hatujui
🙂🙂🙂Mbwa: akipotea wa dar ana trend twitter sisi wa kijijini hata Diwani hatujui
[emoji23]MENDE-Jibaba zima linapiga nyeto chooni.. ubinadam kazi..