Kama wanyama wangekuwa na whats up, stutus zao zingesomeka hivi

Kama wanyama wangekuwa na whats up, stutus zao zingesomeka hivi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kubabaaaale JF ina vichaa timamu
Taja mmoja wao
 
kunguni: jana nlikutana na chaka (m@vuZ1) nkazama kwenye bwawa nkatoka nmelowa haswa.

chawa's reply: huyo atakuwa mwanamke mana juzi kati nlikuwa maeneo hayo.
Tobaaa
 
Tausi: mwenzenu slay Queen maringo na mvuto kama yote
 
Nzi kafiri-mambo mazuri bure yako humu na sihami ng'oo,

Wote nyumba hii nawajua walivo rafu.
 
Back
Top Bottom