Uchaguzi 2020 Kama wapinzani wanaohamia CCM wanaahidiwa kugombea, Je CCM asilia hawatagombea uchaguzi ujao?

Janja janja tu,watajikuta hawana kwakwenda,sisiemu au upinzani,si umeona mwita anaanza kuhangaika hangaika........maana tayari watakuwa useless na hawana madhara
 
Fuatilia uzi wa Erythrocyte unaoitwa " Jinsi wasaliti wanavyoula ccm huku wafia chama wakitelekezwa " kila kitu kimewekwa mle
 
Meko ameinunua NCCR ili aiendeshe kama vile vyama vya upinzani kule DRC wakati wa Mobutu.
Naona mbinu za Kuku na Pombe ni zile zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…