Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Janja janja tu,watajikuta hawana kwakwenda,sisiemu au upinzani,si umeona mwita anaanza kuhangaika hangaika........maana tayari watakuwa useless na hawana madhara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia uzi wa Erythrocyte unaoitwa " Jinsi wasaliti wanavyoula ccm huku wafia chama wakitelekezwa " kila kitu kimewekwa mleKulingana upepo wa kisiasa ulivyo kwa Sasa Ni dhahiri Sasa wapinzani wengi Wana hofu ya kukosa ubunge kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, na ndio maana wengi wao wameamua kukimbilia Chama Cha Mapinduzi ili kuweza kuona kama wanaweza kurudi bungeni.
Nimekuwa nikijiuliza Sana hili swali kwamba Kama kweli wapinzani wanaohamia CCM wanahama kwa lengo la kugombea kwenye uchaguzi ujao.
Je, CCM asilia hawatapata fursa ya kuogombea mwaka huu?
Sasa kama ndiyo malipo waliyokubaliana walipwe si itabidi walipwe. Mwenyekiti ndiye kashaamua nani ampinge?