Kama wapinzani watasimama kidete, wanaweza kuchukua nchi 2025

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza bandari yetu?

Je, CCM baada ya kuanza kubomoa mema ya Magufuli watatoboa kweli?

Kwa uongozi huu usiokuwa na mwelekeo, CCM kweli itatoboa? Kama wapinzani watajiweka vizuri na kuwaelimisha wananchi hasa wa bara, uwezekano wa CCM kujiunga na KANU (Kenya), MCP (Malawi), na UNIP (Zambia) ni mkubwa sana.

Maana, kama kuna kitu kitaiangusha CCM mbali na ubabaishaji na ufisadi, wanawake wawili damu ya Tanganyika itakuwa mikononi mwao.

Hawa nao ni Samia Suluhu Hassan na kibaraka wake Tulia Akson.
 
Rais wa mwisho kushinda kihalali ni Mzee Mwinyi tu, tena kwa sababu alikuwa anagombea peke yake.

Mkapa alishinda kimagumashi, Kikwete term ya kwanza alikuwa na mvuto lakini term ya Pili alishinda Ki magumashi, Magufuli ndio wala usimtaje, huyu alimdhurumu Lowasa term ya kwanza, na term ya Pili akaamuwa awadhurumu Watanzania wote hata haki ya kuchaguwa wabunge na madiwani wanaowataka.

Huyu Magufuli ndio shetani kabisa ambaye madhara ya utawala wake wa kimabavu tutaendelea kuziona athari zake kwa miaka mingi ijayo.

Haya bunge alilolazimisha Magufuli la Chama kimoja ndio hilo linabariki kuuzwa nchi.
 
Hapa ishu sio wanawake wawili.

Na pia ishu sio uwanamke.

Kiini cha TATIZO NI NANI ALITULETEA KATIBA TULIYONAYO.

Wakiondoka hao mnaowaita wanawake wakija mnaowapigia chaguo wenda ikawa zaidi ya hawa mnaowaita wanawake wawili.

Maana mnaowapigia chapuo nao ndimi zao zinatujulisha ni watu wa namna gani.
 
Ila kusema ukweli, Mama hakubaliki mtaani. Sijui ni kwa nini. Kuna baadhi ya watu hata wakimuona tu kwenye picha, wanachukia. Binafsi, i don't care.
 
Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza bandari yetu?

Je, CCM baada ya kuanza kubomoa mema ya Magufuli watatoboa kweli?

Kwa uongozi huu usiokuwa na mwelekeo, CCM kweli itatoboa? Kama wapinzani watajiweka vizuri na kuwaelimisha wananchi hasa wa bara, uwezekano wa CCM kujiunga na KANU (Kenya), MCP (Malawi), na UNIP (Zambia) ni mkubwa sana.

Maana, kama kuna kitu kitaiangusha CCM mbali na ubabaishaji na ufisadi, wanawake wawili damu ya Tanganyika itakuwa mikononi mwao.

Hawa nao ni Samia Suluhu Hassan na kibaraka wake Tulia Akson.
Ndoto ya alinacha. Chama unachokizungumzia kimejikita vijiji vyote Tanzania. Wapinzani kuna sehem Tarafa mzima hakuna hata Tawi sasa hapo unategemea miujiza gani utatumika katika kushinda iwapo hata chama chenyewe cha upinzani hawakijui? Xinapigwa kura chama hakina hata wakala bado unatuaminisha eti CCM itashindwa. Endelea kujifariji
 
Chadema atachukua nchi akiondoa u kaskazini tu! hapo ndipo wamajiloga, chama kinakiwa kifanyiwe "transformation"
 
Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza bandari yetu?

Je, CCM baada ya kuanza kubomoa mema ya Magufuli watatoboa kweli?

Kwa uongozi huu usiokuwa na mwelekeo, CCM kweli itatoboa? Kama wapinzani watajiweka vizuri na kuwaelimisha wananchi hasa wa bara, uwezekano wa CCM kujiunga na KANU (Kenya), MCP (Malawi), na UNIP (Zambia) ni mkubwa sana.

Maana, kama kuna kitu kitaiangusha CCM mbali na ubabaishaji na ufisadi, wanawake wawili damu ya Tanganyika itakuwa mikononi mwao.

Hawa nao ni Samia Suluhu Hassan na kibaraka wake Tulia Akson.
CCM na utawala wake wa serikali ni sawa kabisa na gonjwa la kansa. Mgonjwa hujikuta akiishi nalo kwa shida na adha kubwa huku akizidi kesabu siku zake za kuishi hapa duniani.

Kadiri linavyozidi kushamiri na kusambaa mwilini, ndivyo ambavyo kadiri madhara yake yanapozidi kuongezeka kwa mgonjwa, na pia udhaifu huongezeka, na umauti unazidi kukaribia.

Steji ya ugonjwa huu wa kansa ulivyofikia katika mwili wa Mama Tanzania ni mbaya sana na hali yenye kutia mashaka makubwa juu ya hatma yake. Madaktari ambao ni "wananchi" hasa wale mabongwa wa fani husika ambao ni "waajiriwa wa vyombo vya ulinzi na usalama" wakiendelea kulifanyia masikhara gongwa hili, hivi karibuni tutampoteza na mgonjwa huyu ataishia kuingia kaburini.

Dawa pekee kwa sasa ni mionzi ya X-ray itokanayo na kifaa kipya cha kisasa aina ya "Katiba Mpya" na dawa za kisasa za aina ya " Muundo mpya wa Tume ya Uchaguzi" ndivyo pekee vitakavyoahirisha kifo tarajiwa cha cha mgonjwa.

La sivyo, kidonge kibaya cha "coup d'etat'" kinaweza kutumika kama "last resort" endapo madaktari wataonyesha kutokujali hatma ya mama yetu mpendwa. Huyu ni Mama halisi na mkubwa mwenye asili halisi ya upande wa Bara, na wala si yule mwingine kutoka Visiwani mwenye vinasabu vya Kiarabu
 
What I know is, ccm itaondolewa madarakani na wana ccm wenyewe baada ya mpasuko mkubwa kutokea baina yao.
 
Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza bandari yetu?

Je, CCM baada ya kuanza kubomoa mema ya Magufuli watatoboa kweli?

Kwa uongozi huu usiokuwa na mwelekeo, CCM kweli itatoboa? Kama wapinzani watajiweka vizuri na kuwaelimisha wananchi hasa wa bara, uwezekano wa CCM kujiunga na KANU (Kenya), MCP (Malawi), na UNIP (Zambia) ni mkubwa sana.

Maana, kama kuna kitu kitaiangusha CCM mbali na ubabaishaji na ufisadi, wanawake wawili damu ya Tanganyika itakuwa mikononi mwao.

Hawa nao ni Samia Suluhu Hassan na kibaraka wake Tulia Akson.
Kwa tume hii usahau, kama mahakama hazipo huru(Rostam) je tume ya uchaguzi?
 
Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza bandari yetu?

Je, CCM baada ya kuanza kubomoa mema ya Magufuli watatoboa kweli?

Kwa uongozi huu usiokuwa na mwelekeo, CCM kweli itatoboa? Kama wapinzani watajiweka vizuri na kuwaelimisha wananchi hasa wa bara, uwezekano wa CCM kujiunga na KANU (Kenya), MCP (Malawi), na UNIP (Zambia) ni mkubwa sana.

Maana, kama kuna kitu kitaiangusha CCM mbali na ubabaishaji na ufisadi, wanawake wawili damu ya Tanganyika itakuwa mikononi mwao.

Hawa nao ni Samia Suluhu Hassan na kibaraka wake Tulia Akson.
Nchi ipi hiyo? Nani kwanza anachagua Wapinzani Tzn hii? Kazi ya Wapinzani ni kuchaguza ccm na sio vinginevyo so acha kuota
 
Back
Top Bottom