Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwa wanaojua namna CCM ilivyofilisika kulhali na ilivyoshinda kwa mbinde 2015 kwa kutumia sifa nzuri za John Pombe Magufuli kama mchapakazi wa kupigiwa mfano, itakuwaje mwakani tena baada ya kuuza bandari yetu?
Je, CCM baada ya kuanza kubomoa mema ya Magufuli watatoboa kweli?
Kwa uongozi huu usiokuwa na mwelekeo, CCM kweli itatoboa? Kama wapinzani watajiweka vizuri na kuwaelimisha wananchi hasa wa bara, uwezekano wa CCM kujiunga na KANU (Kenya), MCP (Malawi), na UNIP (Zambia) ni mkubwa sana.
Maana, kama kuna kitu kitaiangusha CCM mbali na ubabaishaji na ufisadi, wanawake wawili damu ya Tanganyika itakuwa mikononi mwao.
Hawa nao ni Samia Suluhu Hassan na kibaraka wake Tulia Akson.