View: https://www.youtube.com/watch?v=_6uZjtRfs40
Kuna video nyingi zinazunguka mtandaaoni ambapo Wazanzibari wanasema hawataki muungano na wanataka nchi yao. Wanahoji zilipo hati za muungano.
Je, kati ya watanganyika na wazanzibari, nani ananufaika na huu muungano unaonza kuwa mgongano?
Je, muungano ni wa nani kama wahusika hawautaki? Na nje ya muungano, Zanzibar itakuwa salama au ni upofu unaowasumbua tu?
Ni wazanzibari wangapi wako bara ikilinganishwa na wabara walioko zanzibar?
Je, huu ni mwanzo wa mwisho wa muungano? Sijui nini maoni yenu wanabodi waheshimiwa?