Uchaguzi 2020 Kama Watanzania hatuwezi kumuunga mkono Lissu kwa hali zozote"tumpe tu Magufuli kura zote"

U Mipaka inafika 28 October, Chadema mtakuwa mmejitengenezea matukio ya uwongo zaidi ya 10000,

Kaombeni Kura Kwa wananchi, mnakanyagana tu Serengeti wakati wenzenu wanaingia Hadi vijijini kabisa kuomba kura
 
Semea nafsi yako,kwani kunawatakao mpa Kura Magufuli huko kwenu tena si kidogo
 
Tundu akamuulize SteveNyerere na mpoki yaliyowapata kwa wajumbe ilk asije pata mshtuko moyo

Kama unataka kuwajua watanzania basi wajue wajumbe sawasawa. Pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya5 kwa kuheshimisha cheo cha wajumbe

Na uzuri sisi wajumbe ndio wenye watu na tulishawaonyesha nguvu yetu toka mwanzoni kabisa
 
Mimi Niko jimbo la ccm na hakuna endeleo hata moja tulilopata, ukweli ni kwamba huyu Mzee maendeleo kapeleka Chato na Dodoma tu
Kikwete, mwinyi na nyerere walileta maendeleo gani huko kwenu?
Hawa wanasiasa wasikuumize kichwa..fanya mambo yako usiwekeze sana akili kwenye siasa watakuchanganya bure. Hata nani ashinde hali itabaki vile vile usipopambana wewe binafsi
 
Kikinuka Bara lazima Kinuke na Visiwani. One Love 💕
 
Hapa Kahama mjini tangu aingie 2015 kajenga km 2 tu lami za mitaa na ajisifu utadhani kajenga km Mia
 
Kujenga hospitali Dodoma ni mawazo mabovu, angehitaji ushauri (hana silka hiyo) naamini Benjamini Mkapa hospital, hospital ya mkoa, ya chuo kikuu udom ndio zingeboreshwa.
 
Kikwete, mwinyi na nyerere walileta maendeleo gani huko kwenu?
Hawa wanasiasa wasikuumize kichwa..fanya mambo yako usiwekeze sana akili kwenye siasa watakuchanganya bure. Hata nani ashinde hali itabaki vile vile usipopambana wewe binafsi
Tumeamua kuwachagua chadema na lissu hata Kama wasilete maendeleo it's OK, tz ni ya wote acha nao wale, sio kila siku haohao tu
 
Acha uongo mmeshindwa mum
acha uingo umeona mmeshashindwa mnaanza vioja. Yaani Magu kwa anavyokubalika anahitaji mbinu kama hizo?
 
U
Mipaka inafika 28 October, Chadema mtakuwa mmejitengenezea matukio ya uwongo zaidi ya 10000,

Kaombeni Kura Kwa wananchi, mnakanyagana tu Serengeti wakati wenzenu wanaingia Hadi vijijini kabisa kuomba kura

Ww hayo mambo ya ndani huyajui, ww kazi yako ni kusifia hapa jukwaani basi, lakini zinapotoka kura hujui.
 
upo Dodoma upande gani?
 
Tusifanye kosa kumchagua magufuli.
 
Kikwete, mwinyi na nyerere walileta maendeleo gani huko kwenu?
Hawa wanasiasa wasikuumize kichwa..fanya mambo yako usiwekeze sana akili kwenye siasa watakuchanganya bure. Hata nani ashinde hali itabaki vile vile usipopambana wewe binafsi
Aisee,nalo neno Mkuu.....!!
 
Kwaheri Chadema

Mtajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…