Uchaguzi 2020 Kama Watanzania hatuwezi kumuunga mkono Lissu kwa hali zozote"tumpe tu Magufuli kura zote"

U
#ILIYOVUJA

Jinsi TISS walivyopanga kuvuruga uchaguzi Dar es Salaam(Kikao cha wasimamizi NIT -Mabibo leo 21.10.2020)

Inasimuliwa na mtu wetu tuliyempenyeza ndani ya NEC

👉Leo wasimamizi wa uchaguzi mkoa wa Dar es Salaam wote tumekusanywa kwenye HALL ukiingia getini lipo upande wa kulia,tukaamrishwa wote kuzima simu,ikatoe mwenzetu mmoja alikataa kuzimasimu yake na kuuliza kwa nini azime akafukuzwa.

👉Kuna jamaa(kutoka TISS) akawa anaongoza kikao na alipoanza kuongea cha kwanza akasema sisi ni wazalendo tumepata nafasi ya kipekee kupigiwa simu moja kwa moja kutoka NEC(kumbuka majina ya wasimamizi&makarani yalitoka jana), hivyo tunaenda kusimamia uchaguzi kwa maisha yetu yawe bora kwa miaka 5 ijayo.

👉 Jamaa akasema wasiokua na vyama wanyoshe mikono wakanyoosha watu 4 hapo hapo akawambia wasimame watoke nje, jamaa akafunguka na kuuliza ni nani kati yetu ambaye hajapendezwa na yaliyofanywa na Magufuli kwa miaka 5 iliyopita nani ambae hapendi Magufuli aendelee na mitano tena?Akasema wale waliotoka nje siyo wenzetu tuliobaki humu ni kitu kimoja akasema jamani ccm oyeee Magufuli oyeee Magufuli ng’ara…

👉Akaendelea sina mengi ya kuongea kuna mgeni ambae ataenda kumaliza kila kitu akaja huyo mgeni akajitambulisha yeye ni Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kinondoni na Kawe(kumbuka pale kulikuwa na watu kutoka kata mbalimbali) akasema yeye ndiye mgombea wa nafasi 3 uraisi ,ubunge na udiwani anaomba tusimwangushe CCMinataka kuchukua dola na haijawahi kushindwa, akapiga CCM oyeee, Magufuli oyeee, Magufuli ng’ara, Tarimba oyeee, Gwajima safiii… Akaendelea kwa kusema sisi ndio tutampa kura, tumeitwa pale kwa kazi maalum kwa kua sisi ni wazalendo hivyo tuhakikishe kwa namna yoyote majimbo yote CCM inapata kura za kutosha, akasema cha muhimu sana kuliko vyote ni siri bila siri mambo hayaendi na hawapo tayari kupoteza mtu kwa kuvujisha siri kwa kua sisi ni wazalendo basi tutatunza siri akasema si huwa mnasikia watu wananyonya mate basi wao wananyonya pia na wakinyonya pua moja kwa moja wananyonya ubongo. Akapiga CCM oyeee, Magufuli oyeee, Magufuli ng’ara, Sasa nini tunatakiwa kufanya kwa kazi maalum tuliyoitiwa kwa uzalendo wetu..

👉Akaendelea kusema hapa kuna makarani, wasimamizi wakuu na wasimamizi wasaidizi wa vituo. Tunachotakiwa kufanya tutafungua vituo saa 1 kamili asubuhi pale kwenye vituo tutakuta mawakala wa CCM wameshafika tayari, tutaendelea na taratibu tutawaonyesha wananchi box la kura kwamba liko tupu/halina kitu baada ya hapo tutaanza kupiga kura sisi wasimamizi na makarani halafu watafata mawakala. Hawa mawakala tayari watakua na kura(ambazo zinaandaliwa usiku wa tarehe 27.10.2020 zinapigwa mihuri kila kitu kama kura iliyokamilika) watakapoingia kwenye kituturi(kijumba cha kupigia kura)wakati wanatoka wanaenda kutumbukiza kwenye box la kura mkononi anakua na kura zaidi ya 10 mpaka 20 ama zinaweza kuzidi hapo, ataenda kutumbukiza kwenye box. Hili zoezi linafanyika kwa muda mfupi sana mpaka saa 1.30 linakua limeshakamilika kwa hiyo wao muda huo 1.30 ndio wanafika kwa kuwa vituo vinafunguliwa saa 2 asubuhi, hata kama wakiwahi asubuhi sana lazima utachezwa mchezo ili zoezi likamilike maana tumehakikishiwa ulinzi, tumeambiwa tukiona wakala wa upinzani anajua sana haki basi tunao uwezo wa kumuamrisha askari amtoe nje. Kwa sababu sisi wazalendo wa kazi maalum+mawakala wa ccm+askari ni kitu kimoja.

👉Akaendelea kusema mfano kituo kina wapiga kura 500 tuhakikishe kura 300 zinaenda CCM, tuhakikishe upinzani hawapati hata nafasi ya kupumulia. Kuna mtu akauliza itakuwaje endapo kura zikizidi kituo kina wapiga kura 500 wote wakapiga kura ukiplus na zile zao 300. Jumla kura zinakua 800 akajibu hilo halina shida kwa sababu hakuna uchaguzi wapiga kura wote wakapiga kura akatoa mfano mwaka 2015 waliojiandikisha kwenye daftari walikua 22M waliopiga kura walikua 8M na hizo zao za magumashi zilikuepo akaendelea kusema na huo ndio ulikua uchaguzi ambao upinzani walikua na kelele sana lakini walifanikiwa kama mtu akiongea sana atapewa fomu ya malalamiko ambapo ikimfikia yeye mchezo unakua umemalizika

JINSI TULIVYOITWA KWENYE KIKAO NIT- MABIBO.

👉Kwanza kila mtu kapigiwa simu na namba tofauti, wakati wa kuingia unaonyesha namba ya mtu aliyekupigia ndio unaingia ndani . Wakati unapigiwa unaambiwa muda wa kwenda mimi niliambiwa saa 10jioni Ila nilifika pale saa 6.40mchana nikakuta kuna bonge la nyomi , kumbe kuna watu waliambiwa waende saa 1 asubuhi wengine saa 3asb,saa 5asb,saa8 na sisi wa saa 10. Ukiingia ndani unasaini kwenye jina lako alafu unaenda kwenye chumba cha uzalendo.

👉Haya ndiyo mambo yaliyofanywa na NEC kwa kushirikiana na TISS na iko hivi nchi nzima
Sisi fichuaTanzania yaani tutapenyeza watu kila mahali na kujua kila wanalolipanga na kuja kuwajulisha hapa mjue jinsi mlivyo na serikali ya hovyo.

Mipango yote inasukwa na Bwana Harlod Kagurumjuni pichani. Mawasiliano yake ni 0767124646.
Mipaka inafika 28 October, Chadema mtakuwa mmejitengenezea matukio ya uwongo zaidi ya 10000,

Kaombeni Kura Kwa wananchi, mnakanyagana tu Serengeti wakati wenzenu wanaingia Hadi vijijini kabisa kuomba kura
 
Kama hataleta maendeleo ni kwakuwa hana hela, hivyo atatumia kigezo cha kuchagua wapinzani kama kisingizio cha kutokupeleka maendeleo. Halafu kuna hadaa fulani inaendelea hivi sasa kutaka kuonyesha kama Magufuli ndio alfa na omega ya maendeleo ya nchi hii, kitu ambacho si kweli. Sisi kwetu hatumchagui na hayo maendeleo yake uchwara hatutaki. Yeye sio nchi bali kiongozi wa serikali, hivyo atatoka madarakani yataletwa na serikali nyingine.
Semea nafsi yako,kwani kunawatakao mpa Kura Magufuli huko kwenu tena si kidogo
 
Huenda wengi wasinielewe kwenye hili.
Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.

1. Sehemu zenye wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana)

2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono juhudi (sababu ya kujipendekeza)

3. Mbinyo utakuwa mkali sana kwa wanasiasa wa upinzani.

Sasa kama tunajijua bado ni waoga hatuna ujasiri basi tumchague Magufuli tu ili kuondokana na ubaguzi wa CCM kwenye maendeleo

Tundu akamuulize SteveNyerere na mpoki yaliyowapata kwa wajumbe ilk asije pata mshtuko moyo

Kama unataka kuwajua watanzania basi wajue wajumbe sawasawa. Pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya5 kwa kuheshimisha cheo cha wajumbe

Na uzuri sisi wajumbe ndio wenye watu na tulishawaonyesha nguvu yetu toka mwanzoni kabisa
 
Mimi Niko jimbo la ccm na hakuna endeleo hata moja tulilopata, ukweli ni kwamba huyu Mzee maendeleo kapeleka Chato na Dodoma tu
Kikwete, mwinyi na nyerere walileta maendeleo gani huko kwenu?
Hawa wanasiasa wasikuumize kichwa..fanya mambo yako usiwekeze sana akili kwenye siasa watakuchanganya bure. Hata nani ashinde hali itabaki vile vile usipopambana wewe binafsi
 
Ndio maana hawataki watu walinde kura, na hiyo ndio inawapa kichwa kusema kuwa Magufuli atashinda kwa zaidi ya 85%. Na katika hayo matambo yao hawataki kabisa neno haki. Machafuko tu ndio muarobaini wa huu uhuni.

Cc: crimea, bia yetu, jingalao, kipande, yehodaya, gentamycine
Kikinuka Bara lazima Kinuke na Visiwani. One Love đź’•
 
Usidanganywe mkuuu mimi nipo Dodoma.

Hakuna maendeleo yoyote yaliyofanyika Dododoma zaidi ya Ujenzi wa Ofisi tu.

1. Dodoma alituahidi uwanja mkubwa wa michezo imeshindikana.
2. Dodoma alituahidi ujenzi wa uwanja wa Ndege msalato imeshindikana.
3. Alituahidi Barabara ya Duara Ling road imeshindikana.
4. Ujenzi wa hospital kubwa ya uhuru imeahindikana.

AMESHINDWA KULETA MAENDELEO YOYOTE DODOMA.
Hapa Kahama mjini tangu aingie 2015 kajenga km 2 tu lami za mitaa na ajisifu utadhani kajenga km Mia
 
Usidanganywe mkuuu mimi nipo Dodoma.

Hakuna maendeleo yoyote yaliyofanyika Dododoma zaidi ya Ujenzi wa Ofisi tu.

1. Dodoma alituahidi uwanja mkubwa wa michezo imeshindikana.
2. Dodoma alituahidi ujenzi wa uwanja wa Ndege msalato imeshindikana.
3. Alituahidi Barabara ya Duara Ling road imeshindikana.
4. Ujenzi wa hospital kubwa ya uhuru imeahindikana.

AMESHINDWA KULETA MAENDELEO YOYOTE DODOMA.
Kujenga hospitali Dodoma ni mawazo mabovu, angehitaji ushauri (hana silka hiyo) naamini Benjamini Mkapa hospital, hospital ya mkoa, ya chuo kikuu udom ndio zingeboreshwa.
 
Kikwete, mwinyi na nyerere walileta maendeleo gani huko kwenu?
Hawa wanasiasa wasikuumize kichwa..fanya mambo yako usiwekeze sana akili kwenye siasa watakuchanganya bure. Hata nani ashinde hali itabaki vile vile usipopambana wewe binafsi
Tumeamua kuwachagua chadema na lissu hata Kama wasilete maendeleo it's OK, tz ni ya wote acha nao wale, sio kila siku haohao tu
 
Acha uongo mmeshindwa mum
#ILIYOVUJA

Jinsi TISS walivyopanga kuvuruga uchaguzi Dar es Salaam(Kikao cha wasimamizi NIT -Mabibo leo 21.10.2020)

Inasimuliwa na mtu wetu tuliyempenyeza ndani ya NEC

👉Leo wasimamizi wa uchaguzi mkoa wa Dar es Salaam wote tumekusanywa kwenye HALL ukiingia getini lipo upande wa kulia,tukaamrishwa wote kuzima simu,ikatoe mwenzetu mmoja alikataa kuzimasimu yake na kuuliza kwa nini azime akafukuzwa.

👉Kuna jamaa(kutoka TISS) akawa anaongoza kikao na alipoanza kuongea cha kwanza akasema sisi ni wazalendo tumepata nafasi ya kipekee kupigiwa simu moja kwa moja kutoka NEC(kumbuka majina ya wasimamizi&makarani yalitoka jana), hivyo tunaenda kusimamia uchaguzi kwa maisha yetu yawe bora kwa miaka 5 ijayo.

👉 Jamaa akasema wasiokua na vyama wanyoshe mikono wakanyoosha watu 4 hapo hapo akawambia wasimame watoke nje, jamaa akafunguka na kuuliza ni nani kati yetu ambaye hajapendezwa na yaliyofanywa na Magufuli kwa miaka 5 iliyopita nani ambae hapendi Magufuli aendelee na mitano tena?Akasema wale waliotoka nje siyo wenzetu tuliobaki humu ni kitu kimoja akasema jamani ccm oyeee Magufuli oyeee Magufuli ng’ara…

👉Akaendelea sina mengi ya kuongea kuna mgeni ambae ataenda kumaliza kila kitu akaja huyo mgeni akajitambulisha yeye ni Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kinondoni na Kawe(kumbuka pale kulikuwa na watu kutoka kata mbalimbali) akasema yeye ndiye mgombea wa nafasi 3 uraisi ,ubunge na udiwani anaomba tusimwangushe CCMinataka kuchukua dola na haijawahi kushindwa, akapiga CCM oyeee, Magufuli oyeee, Magufuli ng’ara, Tarimba oyeee, Gwajima safiii… Akaendelea kwa kusema sisi ndio tutampa kura, tumeitwa pale kwa kazi maalum kwa kua sisi ni wazalendo hivyo tuhakikishe kwa namna yoyote majimbo yote CCM inapata kura za kutosha, akasema cha muhimu sana kuliko vyote ni siri bila siri mambo hayaendi na hawapo tayari kupoteza mtu kwa kuvujisha siri kwa kua sisi ni wazalendo basi tutatunza siri akasema si huwa mnasikia watu wananyonya mate basi wao wananyonya pia na wakinyonya pua moja kwa moja wananyonya ubongo. Akapiga CCM oyeee, Magufuli oyeee, Magufuli ng’ara, Sasa nini tunatakiwa kufanya kwa kazi maalum tuliyoitiwa kwa uzalendo wetu..

👉Akaendelea kusema hapa kuna makarani, wasimamizi wakuu na wasimamizi wasaidizi wa vituo. Tunachotakiwa kufanya tutafungua vituo saa 1 kamili asubuhi pale kwenye vituo tutakuta mawakala wa CCM wameshafika tayari, tutaendelea na taratibu tutawaonyesha wananchi box la kura kwamba liko tupu/halina kitu baada ya hapo tutaanza kupiga kura sisi wasimamizi na makarani halafu watafata mawakala. Hawa mawakala tayari watakua na kura(ambazo zinaandaliwa usiku wa tarehe 27.10.2020 zinapigwa mihuri kila kitu kama kura iliyokamilika) watakapoingia kwenye kituturi(kijumba cha kupigia kura)wakati wanatoka wanaenda kutumbukiza kwenye box la kura mkononi anakua na kura zaidi ya 10 mpaka 20 ama zinaweza kuzidi hapo, ataenda kutumbukiza kwenye box. Hili zoezi linafanyika kwa muda mfupi sana mpaka saa 1.30 linakua limeshakamilika kwa hiyo wao muda huo 1.30 ndio wanafika kwa kuwa vituo vinafunguliwa saa 2 asubuhi, hata kama wakiwahi asubuhi sana lazima utachezwa mchezo ili zoezi likamilike maana tumehakikishiwa ulinzi, tumeambiwa tukiona wakala wa upinzani anajua sana haki basi tunao uwezo wa kumuamrisha askari amtoe nje. Kwa sababu sisi wazalendo wa kazi maalum+mawakala wa ccm+askari ni kitu kimoja.

👉Akaendelea kusema mfano kituo kina wapiga kura 500 tuhakikishe kura 300 zinaenda CCM, tuhakikishe upinzani hawapati hata nafasi ya kupumulia. Kuna mtu akauliza itakuwaje endapo kura zikizidi kituo kina wapiga kura 500 wote wakapiga kura ukiplus na zile zao 300. Jumla kura zinakua 800 akajibu hilo halina shida kwa sababu hakuna uchaguzi wapiga kura wote wakapiga kura akatoa mfano mwaka 2015 waliojiandikisha kwenye daftari walikua 22M waliopiga kura walikua 8M na hizo zao za magumashi zilikuepo akaendelea kusema na huo ndio ulikua uchaguzi ambao upinzani walikua na kelele sana lakini walifanikiwa kama mtu akiongea sana atapewa fomu ya malalamiko ambapo ikimfikia yeye mchezo unakua umemalizika

JINSI TULIVYOITWA KWENYE KIKAO NIT- MABIBO.

👉Kwanza kila mtu kapigiwa simu na namba tofauti, wakati wa kuingia unaonyesha namba ya mtu aliyekupigia ndio unaingia ndani . Wakati unapigiwa unaambiwa muda wa kwenda mimi niliambiwa saa 10jioni Ila nilifika pale saa 6.40mchana nikakuta kuna bonge la nyomi , kumbe kuna watu waliambiwa waende saa 1 asubuhi wengine saa 3asb,saa 5asb,saa8 na sisi wa saa 10. Ukiingia ndani unasaini kwenye jina lako alafu unaenda kwenye chumba cha uzalendo.

👉Haya ndiyo mambo yaliyofanywa na NEC kwa kushirikiana na TISS na iko hivi nchi nzima
Sisi fichuaTanzania yaani tutapenyeza watu kila mahali na kujua kila wanalolipanga na kuja kuwajulisha hapa mjue jinsi mlivyo na serikali ya hovyo.

Mipango yote inasukwa na Bwana Harlod Kagurumjuni pichani. Mawasiliano yake ni 0767124646.
acha uingo umeona mmeshashindwa mnaanza vioja. Yaani Magu kwa anavyokubalika anahitaji mbinu kama hizo?
 
U
Mipaka inafika 28 October, Chadema mtakuwa mmejitengenezea matukio ya uwongo zaidi ya 10000,

Kaombeni Kura Kwa wananchi, mnakanyagana tu Serengeti wakati wenzenu wanaingia Hadi vijijini kabisa kuomba kura

Ww hayo mambo ya ndani huyajui, ww kazi yako ni kusifia hapa jukwaani basi, lakini zinapotoka kura hujui.
 
Usidanganywe mkuuu mimi nipo Dodoma.

Hakuna maendeleo yoyote yaliyofanyika Dododoma zaidi ya Ujenzi wa Ofisi tu.

1. Dodoma alituahidi uwanja mkubwa wa michezo imeshindikana.
2. Dodoma alituahidi ujenzi wa uwanja wa Ndege msalato imeshindikana.
3. Alituahidi Barabara ya Duara Ling road imeshindikana.
4. Ujenzi wa hospital kubwa ya uhuru imeahindikana.

AMESHINDWA KULETA MAENDELEO YOYOTE DODOMA.
upo Dodoma upande gani?
 
Huenda wengi wasinielewe kwenye hili.

Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.

1. Sehemu zenye Wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana)

2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono juhudi (sababu ya kujipendekeza)

3. Mbinyo utakuwa mkali sana kwa wanasiasa wa upinzani.

Sasa kama tunajijua bado ni waoga hatuna ujasiri basi tumchague Magufuli tu ili kuondokana na ubaguzi wa CCM kwenye maendeleo
Tusifanye kosa kumchagua magufuli.
 
Kikwete, mwinyi na nyerere walileta maendeleo gani huko kwenu?
Hawa wanasiasa wasikuumize kichwa..fanya mambo yako usiwekeze sana akili kwenye siasa watakuchanganya bure. Hata nani ashinde hali itabaki vile vile usipopambana wewe binafsi
Aisee,nalo neno Mkuu.....!!
 
Kwaheri Chadema

Mtajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Back
Top Bottom