residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Na kuna D.C.M.C ya E.L.C.T.Kujenga hospitali Dodoma ni mawazo mabovu, angehitaji ushauri (hana silka hiyo) naamini Benjamini Mkapa hospital, hospital ya mkoa, ya chuo kikuu udom ndio zingeboreshwa.
😂😂😂😂 Ungejua?
Mkuu ujue sio vizuri kuchunguzana aisee ukizingatia kwamba nakufahamu vema ijapokuwa wewe unaweza usinifahamu kiviiile!Uko Mossad, ama Scotland yard nini mkuu?
Mkuu ujue sio vizuri kuchunguzana aisee ukizingatia kwamba nakufahamu vema ijapokuwa wewe unaweza usinifahamu kiviiile!
Daaah!!Mkuu sio kwamba unanifahamu mimi tu, hata mke wangu yule mtoto ndogo aliye naye kasema ni wakwako, Ila mimi ndio namlea!
Ahaaa ahaaa, au mkuu hunifahamu tena nini?Daaah!!
Mkuu Tindo, mbona hivo aisee!!
Umezidisha masikhala Kaka!!
Haya buana!!Ahaaa ahaaa, au mkuu hunifahamu tena nini?
Mbowe mwenye chama mwenyewe mwoga kama kunguru. Bado anasikilizia sindano yake ya leo mchana pale Hai. Magufuli Babalao.Waoga na wanafiki lazima wawepo ila Leo tunashinda
#lissu #niyeye
Iyone na hii.Huenda wengi wasinielewe kwenye hili.
Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.
1. Sehemu zenye Wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana)
2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono juhudi (sababu ya kujipendekeza)
3. Mbinyo utakuwa mkali sana kwa wanasiasa wa upinzani.
Sasa kama tunajijua bado ni waoga hatuna ujasiri basi tumchague Magufuli tu ili kuondokana na ubaguzi wa CCM kwenye
Na hili tusilisahauKama hataleta maendeleo ni kwakuwa hana hela, hivyo atatumia kigezo cha kuchagua wapinzani kama kisingizio cha kutokupeleka maendeleo. Halafu kuna hadaa fulani inaendelea hivi sasa kutaka kuonyesha kama Magufuli ndio alfa na omega ya maendeleo ya nchi hii, kitu ambacho si kweli. Sisi kwetu hatumchagui na hayo maendeleo yake uchwara hatutaki. Yeye sio nchi bali kiongozi wa serikali, hivyo atatoka madarakani yataletwa na serikali nyingine.
Usitufokee jisemee mwenyeweHuenda wengi wasinielewe kwenye hili.
Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.
1. Sehemu zenye Wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana)
2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono juhudi (sababu ya kujipendekeza)
3. Mbinyo utakuwa mkali sana kwa wanasiasa wa upinzani.
Sasa kama tunajijua bado ni waoga hatuna ujasiri basi tumchague Magufuli tu ili kuondokana na ubaguzi wa CCM kwenye maendeleo
Na kosa kubwa kwa watanzania wanataka waandamane afu wawe salama,ndio mana itashindikana ila kama utaandamana na ukawa tayari kufa basi ukombozi utapatikana tu lakini haki haiji kwa manenoLissu akijeruhiwa ataenda kutibiwa ujerumani mwenzangu na mie utapelekwa mloganzila tutakuletea uji siku mbili tatu kwaheri...
Hakuna alie tayari kufa, waoga kama mie.Na kosa kubwa kwa watanzania wanataka waandamane afu wawe salama,ndio mana itashindikana ila kama utaandamana na ukawa tayari kufa basi ukombozi utapatikana tu lakini haki haiji kwa maneno
Mange ni nani katika siasa za TZ....utopolo mtupuHuenda wengi wasinielewe kwenye hili.