Uchaguzi 2020 Kama Watanzania hatuwezi kumuunga mkono Lissu kwa hali zozote"tumpe tu Magufuli kura zote"

Uchaguzi 2020 Kama Watanzania hatuwezi kumuunga mkono Lissu kwa hali zozote"tumpe tu Magufuli kura zote"

Kujenga hospitali Dodoma ni mawazo mabovu, angehitaji ushauri (hana silka hiyo) naamini Benjamini Mkapa hospital, hospital ya mkoa, ya chuo kikuu udom ndio zingeboreshwa.
Na kuna D.C.M.C ya E.L.C.T.
 
Mkuu ujue sio vizuri kuchunguzana aisee ukizingatia kwamba nakufahamu vema ijapokuwa wewe unaweza usinifahamu kiviiile!

Mkuu sio kwamba unanifahamu mimi tu, hata mke wangu yule mtoto ndogo aliye naye kasema ni wakwako, Ila mimi ndio namlea!
 
Mkuu sio kwamba unanifahamu mimi tu, hata mke wangu yule mtoto ndogo aliye naye kasema ni wakwako, Ila mimi ndio namlea!
Daaah!!

Mkuu Tindo, mbona hivo aisee!!
Umezidisha masikhala Kaka!!
 
Msiwe na wasi wasi mpeni kura Magufuli ni mwenye upendo mpeni ushirikiano kwa pamoja tuatavuka.

October 28th KURA zote za NDIO ni kwa Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Shangazi wa Taifa atoa nasaha kwa Watanzania
 
I will make my voice heard and hata kama ni kura yangu peke yangu itakuwa tofauti na watanzania wengine wote. Yapo mambo ambayo sikubaliani nayo. The only way to express my dissatisfaction is through the ballot box and i will do so on 28.10.2020.
 
Yaani nasubiri siku hiyo nimwadhibu jamaa - kura yangu - mhhhh - welcome 28 Oktoba
 
Huenda wengi wasinielewe kwenye hili.

Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.

1. Sehemu zenye Wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana)

2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono juhudi (sababu ya kujipendekeza)

3. Mbinyo utakuwa mkali sana kwa wanasiasa wa upinzani.

Sasa kama tunajijua bado ni waoga hatuna ujasiri basi tumchague Magufuli tu ili kuondokana na ubaguzi wa CCM kwenye
Iyone na hii.
 
Kama hataleta maendeleo ni kwakuwa hana hela, hivyo atatumia kigezo cha kuchagua wapinzani kama kisingizio cha kutokupeleka maendeleo. Halafu kuna hadaa fulani inaendelea hivi sasa kutaka kuonyesha kama Magufuli ndio alfa na omega ya maendeleo ya nchi hii, kitu ambacho si kweli. Sisi kwetu hatumchagui na hayo maendeleo yake uchwara hatutaki. Yeye sio nchi bali kiongozi wa serikali, hivyo atatoka madarakani yataletwa na serikali nyingine.
Na hili tusilisahau
 
Huenda wengi wasinielewe kwenye hili.

Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.

1. Sehemu zenye Wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana)

2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono juhudi (sababu ya kujipendekeza)

3. Mbinyo utakuwa mkali sana kwa wanasiasa wa upinzani.

Sasa kama tunajijua bado ni waoga hatuna ujasiri basi tumchague Magufuli tu ili kuondokana na ubaguzi wa CCM kwenye maendeleo
Usitufokee jisemee mwenyewe
 
Lissu akijeruhiwa ataenda kutibiwa ujerumani mwenzangu na mie utapelekwa mloganzila tutakuletea uji siku mbili tatu kwaheri...
Na kosa kubwa kwa watanzania wanataka waandamane afu wawe salama,ndio mana itashindikana ila kama utaandamana na ukawa tayari kufa basi ukombozi utapatikana tu lakini haki haiji kwa maneno
 
Na kosa kubwa kwa watanzania wanataka waandamane afu wawe salama,ndio mana itashindikana ila kama utaandamana na ukawa tayari kufa basi ukombozi utapatikana tu lakini haki haiji kwa maneno
Hakuna alie tayari kufa, waoga kama mie.
 
Huenda wengi wasinielewe kwenye hili.

Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.

1. Sehemu zenye Wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana)

2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono juhudi (sababu ya kujipendekeza)

3. Mbinyo utakuwa mkali sana kwa wanasiasa wa upinzani.

Sasa kama tunajijua bado ni waoga hatuna ujasiri basi tumchague Magufuli tu ili kuondokana na ubaguzi wa CCM kwenye maendeleo
Mange ni nani katika siasa za TZ....utopolo mtupu
 
Back
Top Bottom