Uchaguzi 2020 Kama Watanzania hatuwezi kumuunga mkono Lissu kwa hali zozote"tumpe tu Magufuli kura zote"

Uchaguzi 2020 Kama Watanzania hatuwezi kumuunga mkono Lissu kwa hali zozote"tumpe tu Magufuli kura zote"

Akili yako iko chini sana kiasi kwamba unaona flyover ndio kitu cha maana kwako. Halafu iweje flyover Dodoma sasa hivi si utaonekana limbukeni tu. Dodoma yenyewe kijijini.
Akili yako ingekuwa juu ungepeleka wewe maendeleo bush kwenu. Huna akili kama mimi
 
Mange alikuwa ananing'iniza mapaja Marekani LISU atatangulia mbele
Lissu akijeruhiwa ataenda kutibiwa ujerumani mwenzangu na mie utapelekwa mloganzila tutakuletea uji siku mbili tatu kwaheri...
 
Akili yako ingekuwa juu ungepeleka wewe maendeleo bush kwenu. Huna akili kama mimi

Kwakuwa ww ulizaliwa bush ukaja mjini, basi unajua kila mtu kazaliwa bush kisha ndio akaja mjini.
 
Lissu akijeruhiwa ataenda kutibiwa ujerumani mwenzangu na mie utapelekwa mloganzila tutakuletea uji siku mbili tatu kwaheri...
Wee baki ukiimba pambio Lisu akijeruhiwa jiwe atakimbia ikulu usiku mwingi
 
Kwakuwa ww ulizaliwa bush ukaja mjini, basi unajua kila mtu kazaliwa bush kisha ndio akaja mjini.
Mzee unapoteza muda kujibishana na mtu anaemiliki kichwa kama sanduku la kubebea meno
 
Kwakuwa ww ulizaliwa bush ukaja mjini, basi unajua kila mtu kazaliwa bush kisha ndio akaja mjini.
Mzee unapoteza muda kujibishana na mtu anaemiliki kichwa kama sanduku la kubebea meno
 
Acha upumbafu piga hiyo namba uliyowekewa

Kuna mpumbavu zaidi ya wewe unayepokea na kuukubali umbea wa maongezi ya kikao usichokuwepo, tena umbea usiokua na uthibitisho hata tone page2!!! Eti unaamini kwamba ukipiga namba uliyopewa na huyo mmbea mwenzio ndio itakupa proof😁😁

Ndio maana mnadharaulika sana na sasa bado mtaendelea kudhalilika.
 
Hata usingesema uko bush, hilo linaeleweka tu. Ww pambana na hali yako tu huko huko.
Wewe kukaa mjini unaona umeyapatia maisha??? [emoji2][emoji2][emoji2]
Mshamba sana wewe...tena wa chatttttto
 
Usidanganywe mkuuu mimi nipo Dodoma.

Hakuna maendeleo yoyote yaliyofanyika Dododoma zaidi ya Ujenzi wa Ofisi tu.

1. Dodoma alituahidi uwanja mkubwa wa michezo imeshindikana.
2. Dodoma alituahidi ujenzi wa uwanja wa Ndege msalato Ives Hindi kana.
3. Alituahidi Barabara ya Duara Ling road imeshindikana.
4. Ujenzi wa hospital kubwa ya uhuru imeahindikana.

AMESHINDWA KULETA MAENDELEO YOYOTE DODOMA.
Hivi Dom maji yanawatosha?
 
Vile CCM inalazimisha kuchukua dola wakati haipendwi
45432109.jpg
 
Back
Top Bottom