Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Mimi ni mmoja kati ya wale wachache ambao tulikuwa tunafikiri TUNDU LISSU SIO PRESIDENTIAL MATERIAL KAMA AMBAVYP TULIFIKIRI JPM SIO PRESIDENTIAL MATERIAL.
Baada ya kufuatilia kauli na mwenendo wa JPM kwa MIAKA 5 na Kufuatili kauli na mwenendo wa TUNDU lissu kwa Wiki kadhaa nimegundua kwamba Hata Baada ya MIAKA 5 ya kukaa Madarakani JPM bado hajaweza kuwa PRESIDENTIAL MATERIALS.Bado ana insecurities,inferiorit complex na vitabia flani ambavyo kwa kauli ya Bernard Membe naweza kusema vinaonesha USHAMBA.
Hii imenifanya nijiulize hivie WASUKUMA WANAKWAMA WAPI?
Kwa kipindi kifupi kabisa Tundu LISSU ameweza kuonesha utayari na uwezo wake wa kuwa Amiri JESHI Mkuu.Anaongea kwa ujasiri sio wa kimamlaka bali wa kiuongozi.Anonesha unyenyekevu sio wa kinafiki bali wa asili.HUYU ndiye mtu anayefaa kukabidhiwa nchi.Huyu ndio mtu ambaye watanzania mnapaswa kumpigia KURA ya kuingia PALE Magogoni au kule Chamwino na akafanya KITU cha MAANA
Sisemi sana ili msikilizeni na mumuangalie kisha mseme kama JPM anatoshea kwake.Pamoja na JPM kukaa ikulu kwa miaka 5 bado hajazoe URAIS hajiamini,anaropoka,anatoa maneno ya kiejeli,dharau,vitisho kana kwamba ndo anagombea kwa mara ya kwanza.Kwa hakika kampeni yake ya 2015 alifnaya vizuri zaidi kuliko hata hii ya 2020.
Tuendelee na mjadala huku tukiwa tunapunga upepo wa Bahari ya Hindi huku Kimbiji