Uchaguzi 2020 Kama Watanzania Mlikuwa Mnaogopa Kuchagua Upinzania sasa Mmepewa Rais na Sio Mpinzani

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Mimi ni mmoja kati ya wale wachache ambao tulikuwa tunafikiri TUNDU LISSU SIO PRESIDENTIAL MATERIAL KAMA AMBAVYP TULIFIKIRI JPM SIO PRESIDENTIAL MATERIAL.

Baada ya kufuatilia kauli na mwenendo wa JPM kwa MIAKA 5 na Kufuatili kauli na mwenendo wa TUNDU lissu kwa Wiki kadhaa nimegundua kwamba Hata Baada ya MIAKA 5 ya kukaa Madarakani JPM bado hajaweza kuwa PRESIDENTIAL MATERIALS.Bado ana insecurities,inferiorit complex na vitabia flani ambavyo kwa kauli ya Bernard Membe naweza kusema vinaonesha USHAMBA.

Hii imenifanya nijiulize hivie WASUKUMA WANAKWAMA WAPI?

Kwa kipindi kifupi kabisa Tundu LISSU ameweza kuonesha utayari na uwezo wake wa kuwa Amiri JESHI Mkuu.Anaongea kwa ujasiri sio wa kimamlaka bali wa kiuongozi.Anonesha unyenyekevu sio wa kinafiki bali wa asili.HUYU ndiye mtu anayefaa kukabidhiwa nchi.Huyu ndio mtu ambaye watanzania mnapaswa kumpigia KURA ya kuingia PALE Magogoni au kule Chamwino na akafanya KITU cha MAANA

Sisemi sana ili msikilizeni na mumuangalie kisha mseme kama JPM anatoshea kwake.Pamoja na JPM kukaa ikulu kwa miaka 5 bado hajazoe URAIS hajiamini,anaropoka,anatoa maneno ya kiejeli,dharau,vitisho kana kwamba ndo anagombea kwa mara ya kwanza.Kwa hakika kampeni yake ya 2015 alifnaya vizuri zaidi kuliko hata hii ya 2020.

Tuendelee na mjadala huku tukiwa tunapunga upepo wa Bahari ya Hindi huku Kimbiji
 
kwakweli, JPM sijui hana haiba hata ya balozi wa nyumba 10 kumi
 
JPM amefanya kazi nzuri lakini si nzuri kiasi cha kutosha. Wazungu wanasema Good but not good enough

Miaka mi - 5 yote, alichoweza vizuri zaidi Ni UROPOKAJI, MATUSI na KUTENGUA TEUZI ALIZOKESHA NA MAFAILI KUPITIA SIFA ZA MTEULE.
 
Kwa hiyo wewe sio Mtanzania, unataka kutuchagulia?
 
JPM amefanya kazi nzuri lakini si nzuri kiasi cha kutosha. Wazungu wanasema Good but not good enough

Miaka mi - 5 yote, alichoweza vizuri zaidi Ni UROPOKAJI, MATUSI na KUTENGUA TEUZI ALIZOKESHA NA MAFAILI KUPITIA SIFA ZA MTEULE.
Katika hilo LA TEUA NA TENGUA amelifanya kwa namna ambayo haijapata kutokea.
Rais Tundu Lissu anaonaje kama ataanzisha kitengo cha TENGUATEUA na kumpatia nafasi ya Mwenyekiti wa Kitengo JPM (kama Mrema alivyokumbukwa) ili maisha yaendelee?
 
I wish nikubishie, lakini naona aibu kubishana na ukweli.
 
Subili waje wanaharakati wa CCM povu liwatoke,Polepole na Bashiru,

Nape alivyopata msamaha na jina lake halikukatwa,sasa amekaa kimya anawachora kina Polepole wanavyo ikaanga CCM kwa mafuta yao
Hahahaaaa...... Nchi na chama wamekabidhiwa washamba na malimbukeni
 
Unaambiwa JPM MWenyewe ameulizwa kama akitakiwa kumpigia kura mgombea mwingine na SIO yeye MWENYEWE atamchagua Nani?Akasema TUNDU LISSU
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tundu Lissu hakamatiki
 
Hatujawahi kuona rais ambaye analialia kila mara
 
anaropoka,anatoa maneno ya kiejeli,dharau,vitisho vya kuandamana. Mwenye tabia hizi ni Tundu Mbeligiji , kibaraka wa beberu. Hawezi kuwa Rais full stop 🛑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…