Uchaguzi 2020 Kama Watanzania Mlikuwa Mnaogopa Kuchagua Upinzania sasa Mmepewa Rais na Sio Mpinzani

matako wew😯 sasa wasukuma wanaingiaj hapo?? Akili ya mavuzi shabiki mandazi
 


upresidential material alionyesha ni upi? since aanze kusema miundo mbinu na ndege ni useless, namuona kama litaira flan ivi,
juzi anasema ongezeko la mazao sio maendeleo, daaah kazi ipo
 
Huna cha kuandika zaidi ya hichi na tumeshakichoka kwa kweli POLE SANA.

Mungu Mbariki Raisi wa JMT MH TUNDU A LISSU

Mungu Mbariki Raisi wa Zanzibar MH SEIF SHARIF HAMAD


HAWA NDIO WATETEZI WA KWELI NA NDIO CHAGUO LETU..




nadhan chaguo la watanzania unaliona apa
 
Subili waje wanaharakati wa CCM povu liwatoke,Polepole na Bashiru,

Nape alivyopata msamaha na jina lake halikukatwa,sasa amekaa kimya anawachora kina Polepole wanavyo ikaanga CCM kwa mafuta yao
Siku hizi naona wamepwaya....
 
Unaambiwa JPM MWenyewe ameulizwa kama akitakiwa kumpigia kura mgombea mwingine na SIO yeye MWENYEWE atamchagua Nani?Akasema TUNDU LISSU
Wow! Tundu Lisu Mungu amsimamie aje atuongoze kwa haki
 
nimegundua kwamba Hata Baada ya MIAKA 5 ya kukaa Madarakani JPM bado hajaweza kuwa PRESIDENTIAL MATERIALS.Bado ana insecurities,inferiorit complex na vitabia flani ambavyo kwa kauli ya Bernard Membe naweza kusema vinaonesha USHAMBA.
 
Mkuu Andoza, hilo ni andilo lenye maneno kuntu sana yaliyopangiliwa vyema ndani ya hoja yako mwanana na iliyojaa madini tupu.Hakika nakuambia hili si neno kutoka ktk akili yako ya kawaida ya kibinadamu, bali ni la Mungu mwenyewe aliye hai, naye amelinena kupitia wewe. Ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…