Uchaguzi 2020 Kama Watanzania Mlikuwa Mnaogopa Kuchagua Upinzania sasa Mmepewa Rais na Sio Mpinzani

A public figure has to keep his words and that any decision you make in life you are responsible for it
 
Kwa nini unahusisha ushamba wa Magufuli na Wasukuma?

Wewe ni mkabila?

Unawajua Paul Bomani? Mark Bomani? Francis Nyalali? David Makwaia? Andrew Shija? Unawajua Wasukuma kemkem ambao wametumikia taifa hili kwa weledi mkubwa?
 
Umemaliza ukweli wote. Yaani mtu ni Rais lakini ni mwongo, mwoga, hajiamini na hata haeleweki
 
Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!
 
Huyu ndiye Rais chaguo la watanzania. Tukimkosa huyu hatutakuja tupate mwingine. Watanzania tusifanye makosa tena safari hii. Tumpe kura za ndio Mh Rais Tundu Antipas Mugway Lissu atuongoze 202-2025 ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️ ✔️
 
Kwa nini unahusisha ushamba wa Magufuli na Wasukuma?

Wewe ni mkabila?

Unawajua Paul Bomani? Mark Bomani? Francis Nyalali? David Makwaia? Andrew Shija? Unawajua Wasukuma kemkem ambao wametumikia taifa hili kwa weledi mkubwa?
Magufuli itakua sio msukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…