Kama wavamizi wasingeivamia africa, leo hii africa ingekua iko wapi?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Habari zenu Great Thinkers.
Huwa nasumbuliwa sana kwa kutaka kujia kitu ambacho hakikupewa nafasi ya kutokea. Huwa nafikiri bila majibu juu ingekua vipi Afrika leo hii kama wale wavamizi waliovamia bara letu zuri amabao walikuja kama wapelelezi na wamissionary kutoka Ulaya, Waarabu pamoja na wageni wavamizi wengine waliovamia bara letu la Afrika kwa nia ya kuja kutafuta masoko, malighafi, watumwa na mambo mengine. Leo hii tungekua tumefikia wapi kimaendeleo hasa upande wa sayansi na technologia, juu ya vitu kama miundombinu, majengo, usafiri, maswala ya siasa, utamaduni, dini, ustaarabu na kadharika.Natambua kuwa kulikua kuna maendeleo ya Iron technology katika baadhi ya sehemu za Afrika na baadhi ya majengo kama ya ulaya kwa wakati huo mfano Songhai empire,Tikbuktu n.k Sasa swali langu ni hamu ya kutaka kujua kama wakoloni hao wasingekuja na kuharibu kile tulichokuwa tumekifikia katika maendeleo leo hii AFRIKA tungekua tumefikia hatua gani ya sayansi,technolojia,elimu,dini,siasa, utakaduni n.k? Naomba ufahamu wenu tafadhari kwa mitazamo yenu bila kukariri kitabu cha Walter Rodney.
 
Mkuu angalia maendeleo ya nchi za Afrika ambazo hazikutawaliwa kwa mfano Ethiopia, Tunisia, Moroco na nyenginezo North Africa.

Unaweza kukubali hii ngozi yetu nyeusi ina lana!

Amerika, Ufaransa, Yugoslavia na nchine za Europe zilitawaliwa but angalia maendeleo yao.

Hao Ethopia hawajatawaliwa lakini hawana mbele hawana nyuma.

Kwa zile nchi za kiarabu za Afrika ambazo hazikutawaliwa ziko njema kimaendeleo.

I hope udongo mweusi uliochanganywa na udongo mwengine wakati Adam anaumbwa, uliokotwa chooni!!!
 
Mashaxizo , umejenga hoja kwamba kutawaliwa haikuwa tatizo kwa maendeleo ya nchi inayotawaliwa na kwamba tatizo ni rangi ya ngozi au uafrica hasa ule weusi wetu. Umewasifia waafrica wa kiarabu na kuwaweka kwenye kundi ambalo pamoja na kutawaliwa au kutotawaliwa limepiga hatua kimaendeleo.

Lakini kabla ya kutawaliwa kuna kitu kinaitwa biashara ya utumwa. Hii pamoja na kizazi cha sasa kutojua madhara yake lakini hii ni kitu kimoja kizito sana katika historia ya mwanadamu na kimechangia kuzijenga jamii unazoziona ziko njema na kuziletea maafa makubwa ya kiuchumi na kifikra jamii ambazo ziko nyuma. Biashara ya utumwa haikuwa ya miaka michache bali karne nyingi. Impact yake ni kubwa kuliko watu wengi wanavyofikiri. Ntakupa mifano michache.

Biashara ya utumwa iliua nguvu kazi kwa kuwateka wengi wenye afya na nguvu kwa kuwa ndio haswa walikuwa mahitaji ya wanunuzi. Pia iliua jamii kwa ujumla kwa kuleta uwoga, simanzi, kutoaminiana na chuki dhidi ya utawala au watawala. Ilileta magonjwa kutoka sehemu moja hadi nyingine katika process ya kukusanya watumwa. Ilifanya nguvu kazi ihamie kwenye imani fulani za mizimu katika jitihada za kujilinda (hii sasa hata watoto ambao wangejifunza mbinu za maisha wanaanza kujifunza uchawi etc), Biashara hii ilileta vita, ikapunguza wingi wa watu, mamilioni walikufa na kuuzwa. Pia ikaleta demand mpya isiyo na faida kwa jamii mfano vifaa vya kuwafungia watumwa, masoko ya watumwa etc.

Kwa upande wa jamii zisizo za watu wale weusi unaoona wana laana iliwanufaisha sana. Karne nyingi za biashara ya utumwa zilijenga miji, jamii, himaya, falme na hata nchi kutokana na faida na nguvukazi ya watu hawa. Labda tu hujui uzito wa nguvukazi katika jamii hasa kwa kipindi kile ambacho kazi nyingi zilihitaji maguvu mwilini. Wazungu na waarabu wamefaidika sana na biashara hii katika kujenga jamii zao na jamii ikishajengeka hatua moja basi kunakuwa na nafasi ya watu kuanza kuwa na majukumu tofauti hivyo kupanua uwigo wa maendeleo katika sehemu mbali mbali. Mfano wengine sasa kwa kuwa kuna surplus inayotokana na nguvukazi ya bure basi sasa wanaweza kuafford kuwa wanamaji, wwanahistoria, wanafilosofia, wanasayansi etc. Bila utumwa mambo mengine yangechelewa pia katika jamii nyingi.

Na sisi tumeachiwa nini kutokana na biashara ya utumwa ya karne nyingi? Its obvious...fear and inferiority complex. It can be easily seen even right away with your own words. Unawaona waarabu na wazungu "wamebarikiwa" na waafrika wamelaaniwa. Umeenda mbali mpaka unawafananisha waafrica ambao naamini wewe ni mmoja wao kama udongo wa chooni!! Lakini si wewe tu wengi wanajihisi "inferior" mbele ya watu hao na hii ndio effect moja kubwa tuliyorithi kwa mababu kutokana na biashara hii. Utaona mpaka kiongozi wa kiafrica anamwogopa mzungu au mwarabu ndio mambo biashara ya utumwa hiyo. Itachukua muda fulani mpaka hali hii iishe kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Una tatizo la kijinsia, Njo nikutawzle upate maendeleo!
 
Mkuu angalia maendeleo ya nchi za Afrika ambazo hazikutawaliwa kwa mfano Ethiopia, Tunisia, Moroco na nyenginezo North Africa.

Unaweza kukubali hii ngozi yetu nyeusi ina lana!

Amerika, Ufaransa, Yugoslavia na nchine za Europe zilitawaliwa but angalia maendeleo yao.

Hao Ethopia hawajatawaliwa lakini hawana mbele hawana nyuma.

Kwa zile nchi za kiarabu za Afrika ambazo hazikutawaliwa ziko njema kimaendeleo.

I hope udongo mweusi uliochanganywa na udongo mwengine wakati Adam anaumbwa, uliokotwa chooni!!!

Aaahhh umenifurahsha mkuu ila kulikuwa hakuna choo kipindi cha uumbaji
 
tatizo ni kubaki sehem moja muda wote, ukiangalia mfano wabushmen pale kalahari ndiyo jamii ambayo imemove kidogo sana toka mwanzo wa binadamu wa kisasa, kutoka eastern africa migration ilipoanza wao walishuka na kuishia maeneo waliyopo na ndiyo wapo mpaka kesho, maisha wanayoishi ni maisha waliyoishi miaka makumi elfu yaliyopita, wakati huo wale walioelekea kaskazini na hatimaye kuvuka bara hindi, ulaya na kwingineko walikutana na challenge ambazo zilifanya akili zao zifanye kazi na kupanuka sana, we are just less evolved!
 
Mashaxizo , umejenga hoja kwamba kutawaliwa haikuwa tatizo kwa maendeleo ya nchi inayotawaliwa na kwamba tatizo ni rangi ya ngozi au uafrica hasa ule weusi wetu. Umewasifia waafrica wa kiarabu na kuwaweka kwenye kundi ambalo pamoja na kutawaliwa au kutotawaliwa limepiga hatua kimaendeleo.

Lakini kabla ya kutawaliwa kuna kitu kinaitwa biashara ya utumwa. Hii pamoja na kizazi cha sasa kutojua madhara yake lakini hii ni kitu kimoja kizito sana katika historia ya mwanadamu na kimechangia kuzijenga jamii unazoziona ziko njema na kuziletea maafa makubwa ya kiuchumi na kifikra jamii ambazo ziko nyuma. Biashara ya utumwa haikuwa ya miaka michache bali karne nyingi. Impact yake ni kubwa kuliko watu wengi wanavyofikiri. Ntakupa mifano michache.

Biashara ya utumwa iliua nguvu kazi kwa kuwateka wengi wenye afya na nguvu kwa kuwa ndio haswa walikuwa mahitaji ya wanunuzi. Pia iliua jamii kwa ujumla kwa kuleta uwoga, simanzi, kutoaminiana na chuki dhidi ya utawala au watawala. Ilileta magonjwa kutoka sehemu moja hadi nyingine katika process ya kukusanya watumwa. Ilifanya nguvu kazi ihamie kwenye imani fulani za mizimu katika jitihada za kujilinda (hii sasa hata watoto ambao wangejifunza mbinu za maisha wanaanza kujifunza uchawi etc), Biashara hii ilileta vita, ikapunguza wingi wa watu, mamilioni walikufa na kuuzwa. Pia ikaleta demand mpya isiyo na faida kwa jamii mfano vifaa vya kuwafungia watumwa, masoko ya watumwa etc.

Kwa upande wa jamii zisizo za watu wale weusi unaoona wana laana iliwanufaisha sana. Karne nyingi za biashara ya utumwa zilijenga miji, jamii, himaya, falme na hata nchi kutokana na faida na nguvukazi ya watu hawa. Labda tu hujui uzito wa nguvukazi katika jamii hasa kwa kipindi kile ambacho kazi nyingi zilihitaji maguvu mwilini. Wazungu na waarabu wamefaidika sana na biashara hii katika kujenga jamii zao na jamii ikishajengeka hatua moja basi kunakuwa na nafasi ya watu kuanza kuwa na majukumu tofauti hivyo kupanua uwigo wa maendeleo katika sehemu mbali mbali. Mfano wengine sasa kwa kuwa kuna surplus inayotokana na nguvukazi ya bure basi sasa wanaweza kuafford kuwa wanamaji, wwanahistoria, wanafilosofia, wanasayansi etc. Bila utumwa mambo mengine yangechelewa pia katika jamii nyingi.

Na sisi tumeachiwa nini kutokana na biashara ya utumwa ya karne nyingi? Its obvious...fear and inferiority complex. It can be easily seen even right away with your own words. Unawaona waarabu na wazungu "wamebarikiwa" na waafrika wamelaaniwa. Umeenda mbali mpaka unawafananisha waafrica ambao naamini wewe ni mmoja wao kama udongo wa chooni!! Lakini si wewe tu wengi wanajihisi "inferior" mbele ya watu hao na hii ndio effect moja kubwa tuliyorithi kwa mababu kutokana na biashara hii. Utaona mpaka kiongozi wa kiafrica anamwogopa mzungu au mwarabu ndio mambo biashara ya utumwa hiyo. Itachukua muda fulani mpaka hali hii iishe kabisa.

Well said Mkuu.

Still kuna swali la kujiuliza.

Ivi unahisi ni kwanini waafrika weusi walifanywa watumwa instead of wao kuwa mabwana na kuwafanya watu weupe wawe watumwa?

Na jee unakubali Ethiopia hawakufanyiwa utumwa?
 
Last edited by a moderator:
Well said Mkuu.

Still kuna swali la kujiuliza.

Ivi unahisi ni kwanini waafrika weusi walifanywa watumwa instead of wao kuwa mabwana na kuwafanya watu weupe wawe watumwa?

Na jee unakubali Ethiopia hawakufanyiwa utumwa?

Yes, swali lako ni muhimu lakini ni part ya historia. Unajua history ni record tu ya matukio ambayo kwa bahati mbaya au nzuri yanakuwa yameshapita hivyo unaweza kujifunza kutokana nayo lakini si kupangua. Kila tukio lina sababu zake, na hata "advantage" ya jambo fulani, mfano kuwa mabwana (Landlords) inakuwa na mfululizo wa vitu nyuma yake vilivyopelekea "advantage" hiyo. Mfululizo wa vitu hivi inaweza isiwe "baraka" au "akili nyingi" bali mazingira kama alivyosema CYBERTEQ ingawa yeye kaenda mbali zaidi kwenye "less evolved" ambako si maoni yangu.

Utaona jamii fulani zilihama kwenda pande tofauti za dunia, huko kuna challenges mpya ambazo katika kuzitatua basi system fulani ya maisha inajengeka. Hawa "mabwana" wamekuwa katika eneo lenye challenges kubwa kutokana na hali ya hewa na mazingira hii ikapelekea ardhi kuwa kitu adimu na chenye maana kubwa. Wale watakao jimilikisha ardhi na kuilinda basi watakua na eneo la chakula na malisho hivyo wataneemeka na kuheshimika zaidi. Wenzao watakaokosa ardhi basi watalazimika kufanya kazi kwa hawa mabwana kwa kupata ujira fulani au pia wanaweza kukodi ardhi na kulipa sehemu ya kile watachozalisha. Hapa tayari unaona utumwa "unajengwa" na mfumo huu unajulikana kama feudalism. Wenzetu walianza zamani sana kutokana na challenges zao. Kwa hiyo utumwa haukuanzia kwa watu weusi bali kwa wao wenyewe, mabwana na watumwa wao, "haves and haves nots".

Kwa upande wa sisi waafrika weusi, ardhi ilikuwa inatosha sana, ni kubwa na hali ya hewa nzuri sana. Hamna majira ya baridi wala hamna majangwa kama kwa wale "mabwana" kwa hiyo jamii nyingi zilibaki katika maisha ya ujima na nyingine zilibaki katika vikundi vidogo vidogo vya familia au ukoo kwa karne nyingi. Hamna tabu ardhi ipo, wanyama wa kuwindwa wapo na chakula kinatosha familia hiyo ndogo maisha yanaenda sasa kumiliki ardhi ili upate watumwa ni nini kwa watu hawa. Hivyo hii ikapelekea gap, jamii zetu zikaachwa nyuma katika swala zima la kutumikishana na yale yote yanayokuja kutokana na hilo, jeshi, mbinu za kulinda ardhi, faida, biashara, ujanja-ujanja, kutafuta ardhi zaidi, kutafuta watumwa zaidi, ubabe, etc.

Katika kutafuta ardhi zaidi na nguvu kazi zaidi hawa watu (weupe na wekundu) wanakutana na jamii ambazo wala hazina habari hii (weusi) na zinaishi kwa style ya kizamani ya amani hivyo tayari jamii hizi zikawa victims wa wababe, na wajanja ambao wamezaliwa kwenye mazingira ya feudalism. What else do you aspect?

La Ethiopia ni kutotawaliwa yani wakoloni hawakuchukua dola yao lakini mimi naongelea biashara ya utumwa ambayo hii imeanza zamani sana na ni tofauti kwa namna fulani na ukoloni. (Colonialism / Slave trade). Watumwa kutoka Ethiopia walikuwa wengi hakuna eneo ambalo biashara hii haikufika (generally). Slave trade ni doa zito zaidi na tawala nyingi hata za africa baadae zilishiriki biashara hii kwa kuuza watu wao (criminals and other society misfits) hivyo kulemaza jamii za waafrika weusi zaidi. Kwa maana baada ya muda fulani ule utumwa wa mtu mweupe mwenzao ulionekana haufai na mtumwa mweusi akaonekana ndio nguvu kazi rahisi na stahimilivu zaidi ya punda.

Ukoloni ulipokuja ulikuta dola tawala na jamii za kiafrika zikiwa tayari weakened through slave trade kwa kiwango kikubwa sana. Population ndogo, fear of these white and arab dudes, low tech za vita. Hii yote ni matokeo biashara ya utumwa.
 
Acha ukuda mtoto wa kiume wewee! Au ttako zako zinakuwasha?

Hoja yako ni ipi?
Wewe na mtoa mada mna tatizo la kutawaliwa, njoo tupo wa kuwatawala!
Najua watu kama ninyi masochists, watu mnaoenjoy pain ya kijinsia, mko wengi katika jamii.
 
Habari zenu Great Thinkers.
Huwa nasumbuliwa sana kwa kutaka kujia kitu ambacho hakikupewa nafasi ya kutokea. Huwa nafikiri bila majibu juu ingekua vipi Afrika leo hii kama wale wavamizi waliovamia bara letu zuri amabao walikuja kama wapelelezi na wamissionary kutoka Ulaya, Waarabu pamoja na wageni wavamizi wengine waliovamia bara letu la Afrika kwa nia ya kuja kutafuta masoko, malighafi, watumwa na mambo mengine. Leo hii tungekua tumefikia wapi kimaendeleo hasa upande wa sayansi na technologia, juu ya vitu kama miundombinu, majengo, usafiri, maswala ya siasa, utamaduni, dini, ustaarabu na kadharika.Natambua kuwa kulikua kuna maendeleo ya Iron technology katika baadhi ya sehemu za Afrika na baadhi ya majengo kama ya ulaya kwa wakati huo mfano Songhai empire,Tikbuktu n.k Sasa swali langu ni hamu ya kutaka kujua kama wakoloni hao wasingekuja na kuharibu kile tulichokuwa tumekifikia katika maendeleo leo hii AFRIKA tungekua tumefikia hatua gani ya sayansi,technolojia,elimu,dini,siasa, utakaduni n.k? Naomba ufahamu wenu tafadhari kwa mitazamo yenu bila kukariri kitabu cha Walter Rodney.
Unajidanganya tungelikuwa tumeshaliwa na SIMBA na hata fisi wasingebakisha mifupa yetu, Vibanda na vichaka vyetu vingelikanyagwa na TEMBO,FARU na nyati.... !!
Halafu tungeliishi bila umeme hadi leo, Barabara tusingeweza hata kuchonga !1 leo unatembea barabarni, unasafiri na treni, unapanda na kuruka kwa ndege, unajua kusoma na kuandika lugha wazifahamu kwa urahisi...........

Ona na ujifunze

Yes, swali lako ni muhimu lakini ni part ya historia. Unajua history ni record tu ya matukio ambayo kwa bahati mbaya au nzuri yanakuwa yameshapita hivyo unaweza kujifunza kutokana nayo lakini si kupangua. Kila tukio lina sababu zake, na hata "advantage" ya jambo fulani, mfano kuwa mabwana (Landlords) inakuwa na mfululizo wa vitu nyuma yake vilivyopelekea "advantage" hiyo. Mfululizo wa vitu hivi inaweza isiwe "baraka" au "akili nyingi" bali mazingira kama alivyosema CYBERTEQ ingawa yeye kaenda mbali zaidi kwenye "less evolved" ambako si maoni yangu.

Utaona jamii fulani zilihama kwenda pande tofauti za dunia, huko kuna challenges mpya ambazo katika kuzitatua basi system fulani ya maisha inajengeka. Hawa "mabwana" wamekuwa katika eneo lenye challenges kubwa kutokana na hali ya hewa na mazingira hii ikapelekea ardhi kuwa kitu adimu na chenye maana kubwa. Wale watakao jimilikisha ardhi na kuilinda basi watakua na eneo la chakula na malisho hivyo wataneemeka na kuheshimika zaidi. Wenzao watakaokosa ardhi basi watalazimika kufanya kazi kwa hawa mabwana kwa kupata ujira fulani au pia wanaweza kukodi ardhi na kulipa sehemu ya kile watachozalisha. Hapa tayari unaona utumwa "unajengwa" na mfumo huu unajulikana kama feudalism. Wenzetu walianza zamani sana kutokana na challenges zao. Kwa hiyo utumwa haukuanzia kwa watu weusi bali kwa wao wenyewe, mabwana na watumwa wao, "haves and haves nots".

Kwa upande wa sisi waafrika weusi, ardhi ilikuwa inatosha sana, ni kubwa na hali ya hewa nzuri sana. Hamna majira ya baridi wala hamna majangwa kama kwa wale "mabwana" kwa hiyo jamii nyingi zilibaki katika maisha ya ujima na nyingine zilibaki katika vikundi vidogo vidogo vya familia au ukoo kwa karne nyingi. Hamna tabu ardhi ipo, wanyama wa kuwindwa wapo na chakula kinatosha familia hiyo ndogo maisha yanaenda sasa kumiliki ardhi ili upate watumwa ni nini kwa watu hawa. Hivyo hii ikapelekea gap, jamii zetu zikaachwa nyuma katika swala zima la kutumikishana na yale yote yanayokuja kutokana na hilo, jeshi, mbinu za kulinda ardhi, faida, biashara, ujanja-ujanja, kutafuta ardhi zaidi, kutafuta watumwa zaidi, ubabe, etc.

Katika kutafuta ardhi zaidi na nguvu kazi zaidi hawa watu (weupe na wekundu) wanakutana na jamii ambazo wala hazina habari hii (weusi) na zinaishi kwa style ya kizamani ya amani hivyo tayari jamii hizi zikawa victims wa wababe, na wajanja ambao wamezaliwa kwenye mazingira ya feudalism. What else do you aspect?

La Ethiopia ni kutotawaliwa yani wakoloni hawakuchukua dola yao lakini mimi naongelea biashara ya utumwa ambayo hii imeanza zamani sana na ni tofauti kwa namna fulani na ukoloni. (Colonialism / Slave trade). Watumwa kutoka Ethiopia walikuwa wengi hakuna eneo ambalo biashara hii haikufika (generally). Slave trade ni doa zito zaidi na tawala nyingi hata za africa baadae zilishiriki biashara hii kwa kuuza watu wao (criminals and other society misfits) hivyo kulemaza jamii za waafrika weusi zaidi. Kwa maana baada ya muda fulani ule utumwa wa mtu mweupe mwenzao ulionekana haufai na mtumwa mweusi akaonekana ndio nguvu kazi rahisi na stahimilivu zaidi ya punda.

Ukoloni ulipokuja ulikuta dola tawala na jamii za kiafrika zikiwa tayari weakened through slave trade kwa kiwango kikubwa sana. Population ndogo, fear of these white and arab dudes, low tech za vita. Hii yote ni matokeo biashara ya utumwa.

Nimekusoma mkuu.
 
Wewe na mtoa mada mna tatizo la kutawaliwa, njoo tupo wa kuwatawala!
Najua watu kama ninyi masochists, watu mnaoenjoy pain ya kijinsia, mko wengi katika jamii.

yik4yRXeT.jpeg
 
Back
Top Bottom