lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Habari zenu Great Thinkers.
Huwa nasumbuliwa sana kwa kutaka kujia kitu ambacho hakikupewa nafasi ya kutokea. Huwa nafikiri bila majibu juu ingekua vipi Afrika leo hii kama wale wavamizi waliovamia bara letu zuri amabao walikuja kama wapelelezi na wamissionary kutoka Ulaya, Waarabu pamoja na wageni wavamizi wengine waliovamia bara letu la Afrika kwa nia ya kuja kutafuta masoko, malighafi, watumwa na mambo mengine. Leo hii tungekua tumefikia wapi kimaendeleo hasa upande wa sayansi na technologia, juu ya vitu kama miundombinu, majengo, usafiri, maswala ya siasa, utamaduni, dini, ustaarabu na kadharika.Natambua kuwa kulikua kuna maendeleo ya Iron technology katika baadhi ya sehemu za Afrika na baadhi ya majengo kama ya ulaya kwa wakati huo mfano Songhai empire,Tikbuktu n.k Sasa swali langu ni hamu ya kutaka kujua kama wakoloni hao wasingekuja na kuharibu kile tulichokuwa tumekifikia katika maendeleo leo hii AFRIKA tungekua tumefikia hatua gani ya sayansi,technolojia,elimu,dini,siasa, utakaduni n.k? Naomba ufahamu wenu tafadhari kwa mitazamo yenu bila kukariri kitabu cha Walter Rodney.