B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Mar 7, 2025 #1 Hii clip imenifikirisha sn km mzazi na km mtoto kwa wazazi wangu. Ndiyo maana nikaileta hapa ili wengine nao wapate kujifunza jambo. NB. Tuchangie hoja km wazazi au watoto wa wazazi wetu siyo kuingiza mahaba ya u SIMBA au YANGA. Kuna somo kubwa sn hapa. Your browser is not able to display this video.
Hii clip imenifikirisha sn km mzazi na km mtoto kwa wazazi wangu. Ndiyo maana nikaileta hapa ili wengine nao wapate kujifunza jambo. NB. Tuchangie hoja km wazazi au watoto wa wazazi wetu siyo kuingiza mahaba ya u SIMBA au YANGA. Kuna somo kubwa sn hapa. Your browser is not able to display this video.
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 12,444 Reaction score 18,741 Mar 7, 2025 #3 Baba fanya kazi, mama aje kuitwa nani kama mama
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Mar 7, 2025 #4 Aliyeangalia vidio dakika 10 zote anipe summary kidogo
Wauzaji wa containers JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 615 Reaction score 1,443 Mar 7, 2025 #5 Mambo ya nani Kama Mama yanimbwa na vijana ambao hawana familia na Kama wanazo hizo familia hawajafika hatua ya kuwa bread winner Mama ni bora Sana Ila sacrifices ya baba ni kubwa Sana.
Mambo ya nani Kama Mama yanimbwa na vijana ambao hawana familia na Kama wanazo hizo familia hawajafika hatua ya kuwa bread winner Mama ni bora Sana Ila sacrifices ya baba ni kubwa Sana.
B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Mar 7, 2025 Thread starter #6 Wauzaji wa containers said: Mambo ya nani Kama Mama yanimbwa na vijana ambao hawana familia na Kama wanazo hizo familia hawajafika hatua ya kuwa bread winner Mama ni bora Sana Ila sacrifices ya baba ni kubwa Sana. Click to expand... Hapa wenye familia tunakubaliana 100%
Wauzaji wa containers said: Mambo ya nani Kama Mama yanimbwa na vijana ambao hawana familia na Kama wanazo hizo familia hawajafika hatua ya kuwa bread winner Mama ni bora Sana Ila sacrifices ya baba ni kubwa Sana. Click to expand... Hapa wenye familia tunakubaliana 100%
torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 3,978 Reaction score 9,841 Mar 7, 2025 #7 mama anamwambia mtoto anasema, kama sikukubeba kwenye hili tumbo miezi tisa...... Je Baba yeye anasemaje ? baba anasemaje?
mama anamwambia mtoto anasema, kama sikukubeba kwenye hili tumbo miezi tisa...... Je Baba yeye anasemaje ? baba anasemaje?